Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

KWA PAMOJA TUZUIE VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA – WAZIRI UMMY

Written by Alex Sonna
  • Na. WAF – Tanga
  • Watanzania wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kupambana kwa kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kuzuia suala la mimba za utotoni kwa kuwaacha watoto wa kike wasome na watimize ndoto zao.
  • Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Novemba 30, 2023 kwenye kilele cha Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliyofanyika Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga ambapo amesema kuwa mimba za utotoni ni asilimia 22, yaani katika kila watoto wa kike 100, watoto 22 wanapata ujauzito katika umri mdogo.
  • Aidha, Waziri Ummy amewataka madaktari wote nchini kuacha kuogopa kutoa taarifa sahihi za vitendo vya ukatili, kama mtoto amebakwa sema na kama mtoto ameingiliwa kinyume na maumbile sema kwa kuwa hatovumiliwa mtu yeyote atakaeficha ukweli kuhusu vitendo vya kikatili.
  • “Serikali haitomvumilia mtu yoyote wa ubakaji na walawiti wa watoto, madaktari nawasisitiza msiogope kutoa taarifa sahihi kuna baadhi wanaogopa kutoa taarifa za kweli, msiogope, polisi kazi yao ni kutafuta ushahidi Sasa mnapoogopa kutoa ushahidi mnachangia kuendeleza ukatili wa kijinsia kwa watoto.” Amesema Waziri Ummy
  • Pia, amesisitiza kwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa nchini kuzingatia maelekezo ya Serikali ikiwemo kuhakikisha kila shule ya Msingi na Sekondari inakuwa na walimu malezi ambao watakuwa ndio kimbilio la watoto kueleza matatizo ya ukatili wanayofanyiwa wakiwa shule au nyumbani.
  • Waziri Ummy akiendelea kutoa athari za vitendo vya ukatili wa kijinsia amesema Tanzania inatumia asilimia 3.5 ya Pato la Taifa kwa ajili ya kushuhulikia masuala ya ukatili wa kijinsia ambapo fedha hizo zingeweza kutumika kwenye masuala ya Afya, kwenye maji lakini pia kwenye masuala ya elimu kwa watoto.
  • Waziri Ummy amewahakikishia Watanzania kuwa Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia utekelezaji wa sheria ili kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto.
  • Kwa upande wake Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Mary Oj’Neill ameipongeza Tanzania na kuahidi kuendelea kuunga mkono jitihada za Tanzania katika kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia.
  • Maadhimisho haya yaliyoandaliwa na Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo wakiwemo Shirika la Femina Hip, UZIKWASA pamoja na Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania.
  • Lengo la Maadhimisho hayo ya siku 16 za Kupinga ukatili wa kijinsia ni kutumia siku hizi kwa kutoa elimu, hamasa, taarifa pamoja na kupanga mikakati kwa ajili ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia.
  • Kauli mbiu ya Maadhimisho hayo kwa Mwaka huu inasema ‘wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia’ ‎

About the author

Alex Sonna