Featured Kitaifa

MWENYEKITI CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA IKULU DAR ES SALAAM

Written by mzalendo

   

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

About the author

mzalendo