Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATOA KAULI MRADI UBORESHAJI MILKI ZA ARDHI

Written by mzalendo

 

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi  kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Novemba 28,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ,akielezea jambo  wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi  kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Novemba 28,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Madini ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde akizungumza katika Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi uliofanyika leo Novemba 28,2023  jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga,akitoa taarifa wakati wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi uliofanyika leo Novemba 28,2023  jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi.Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa wake wakati wa  Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi uliofanyika leo Novemba 28,2023  jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi unaofanyika leo Novemba 28,2023  jijini Dodoma.

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  Mkutano wa Wadau kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi  kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Novemba 28,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini zinazotekeleza Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa timu zinazotekeza mradi huo katika maeneo yao.

Hayo yamebainishwa leo Novemba 28,2023 jijini Dodoma na  Mhe.Majaliwa katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa wakati wa Mkutano wa Kitaifa wa Wadau Kujadili Utekelezaji Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi.

‘’Ili mradi ufanikiwe ni vyema wadau wakashiriki kikamilifu katika mradi na nieendelee kuhimiza wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri kutoa ushirikiano kwa timu za utekelezaji mradi’’ amesema Mhe. Majaliwa

Hata hivyo Mhe.Majaliwa amezitaka Taasisi zinazofanya kazi na mradi kama vile NIDA, NEMC, Tume ya Matumizi ya Mipango Bora ya Ardhi na taasisi zote kutoa ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi.

Amesema kuwa  Januari 21, 2022 serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ilisaini makubaliano na Benki ya Dunia ya mkopo wa Sh.bilioni 346 sawa na dola za kimarekani milioni 150 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo.

“Mradi huu unatekelezwa katika kipindi cha miaka mitano na una vipengele vinne ambavyo ni kuongeza usalama wa milki,kuimarisha mifumo ya taarifa za ardhi, kujenga miundombinu ya ardhi na usimamizi wa mradi”amesema

Aidha Mhe.Majaliwa, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri katika kipindi hiki cha maandalizi ya bajeti ya  mwaka ujao wa fedha, watenge bajeti kupunguza migogoro ya ardhi.

“Nawaagiza  wakurugenzi wa halmashauri nchini katika kipindi hiki cha maandalizi ya Bajeti ya  mwaka 2024/25 watenge fedha kwa ajili ya sekta ya ardhi ili kuendeleza utekelezaji  wa mradi katika maeneo yale ambayo mradi haujaweza kufika.

Ameongeza “Watalaam wa sekta ya ardhi washirikiane na viongozi wa serikali za mitaa na vijiji kuwapa  wananchi elimu kuhusu masuala ya ardhi ili kupunguza migogoro iliyopo.”amesema 

Kwa upande wake Waziri wa Madini ambaye ni mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa  mradi huo  utasaidia kuondoa changamoto za ardhi pamoja na kuwahakikishia wananchi umiliki wa maeneo yao kwa matumizi mbalimbali.

”Mradi huo umekuja wakati muafaka na kubadilisha maisha ya mtanzania.”amesema Mhe.Mavunde

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi.Rosemary Senyamule amesema kuwa kutokana na serikali kuhamashia makao makuu Dodoma uhitaji wa ardhi umekuwa mkubwa.

“Tunampomgeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea mradi huu ambao utasaidia kuongeza usalama wa milki za ardhi na kutatua migogoro iliyopo katika maeneo mbalimbali,” amesema Bi.Rosemary

Awali Kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amesema  hadi kufikia Novemba 20 mwaka huu, viwanja 21,889 vilikuwa vimetambuliwa.

Mhandisi Sanga amefafanua kuwa kati ya hivyo, viwanja 11,068 upimaji wake umekamilika na vipo katika hatua ya maonyesho kwa umma ili kutoa fursa kwa wananchi kuhakiki na kurekebisha taarifa zao.

Aidha amesema kuwa  katika mwaka huu wa fedha wizara kupitia mradi huo imelenga kukamilisha urasimishaji wa makazi 500,000 ambapo kati ya hayo makazi 100,000 yatarasimishwa kwa kutumia watumishi wa umma na makazi 400,000 kupitia makampuni binafsi ya upangaji na upimaji .

“Zabuni za upatikanaji wa makampuni yatakayofanya kazi ya urasimishaji zipo hatua za mwisho,”amesema Mhandisi Sanga

About the author

mzalendo