Featured Kimataifa

WAZIRI NCHEMBA AMUAGA RAIS WA BURUNDI

Written by mzalendoeditor

 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akimuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha, ambapo katika Mkutano huo, Mhe. Ndayishimiye alimkabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir, baada ya kumaliza muda wake.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF)

About the author

mzalendoeditor