Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA AVITAKA VYUO VIKUU NCHINI KUWEKEZA KWENYE TAFITI

Written by mzalendo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza  wakati akihutubia Baraza la Wahitimu katika Chuo Kikuu cha Mzumbe  lililofanyika leo Novemba 22,2023 Mjini Morogoro.

………………..

Waziri wa Elimu, Sayansi na teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema serikali inatambua umuhimu wa Mabaraza ya Wahitimu na Jumuiya mbalimbali katika Vyuo Vikuu, katika kuchangia Maendeleo ya miradi mbalimbali katika Vyuo husika.

Prof. Mkenda ametoa kauli hiyo Novemba 22, 2023 mjini Morogoro wakati akihutubia Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambapo amesema serikali inajivunia michango ya Wajumbe wa Baraza hilo, ikiwemo mchango wa ujenzi wa mabweni kwa ajili ya Wanafunzi Ndaki ya Mbeya.

“lakini pia nawapongeza kufikia katika hatua za mwisho za kuanzisha mfuko wa ufadhili kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wasio na uwezo kugharamia masomo, na kwamba Sera ya mfuko huo tayari imeandaliwa na kupitishwa na ngazi husika nawapongeza sana na ninaamini katika utoaji ufadhili mtazingatia pia _meritocracy_ ” alisema Prof. Mkenda.

Wakati huo huo Prof. Mkenda amekipongeza Chuo hicho kwa kuanzisha kituo cha Mafunzo ya Uongozi na Menejimenti na kwamba hatua hiyo inaashiri kurudisha mafunzo kulingana na madhumuni halisi ya Chuo ya kuandaa na kutoa elimu ya Uongozi katika ngazi mbalimbali.

“Ni muhimu Chuo Kikuu Mzumbe, kupitia kituo hiki, muendelee na utamaduni wa kutoa huduma ya kuwajengea uwezo viongozi wetu, hasa kwenye ngazi za kati na chini” alisema Prof. Mkenda

Awali akitoa taarifa kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Prof. Peter Msofe ameeleza kuwa Wizara inaona umuhimu mkubwa katika kudumisha uhusiano wa karibu na Mabaraza ya Wahitimu wa Vyuo Vikuu katika kusimamia dhana ya elimu ya juu nchini.

“Tunatambua kuwa Vyuo Vikuu ni nguzo muhimu katika Maendeleo ya taifa letu, na ndio maana tunajitahidi sana kuhakikisha tunashirikiana kuweka mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia” alieleza Prof. Msofe.

Nae Rais wa Baraza la Wahitimu katika Chuo Kikuu Mzumbe CPA. Ludovick Utoah ameipongeza serikali kwa kuendelea kusimamia mageuzi makubwa yenye mchango chanya katika sekta ya Elimu kwa kuzingatia viwango vya juu.

“Kazi inayofanya Wizara ya elimu, ambayo sisi ni wadau tunaithamini sana hasa kwa namna inavyotekeleza mipango mbalimbali katika sekta ya Elimu, Sayansi na teknolojia Kwa niaba ya Mhe. Rais.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro mhe. Adam Malima amemshukuru Rais Mhe. Samia kuendelea kufanya uwekezaji kwa kuboresha mbiundombinu ya elimu katika Vyuo Vikuu ikiwemo Chuo Kikuu cha Mzumbe ambacho kimekuwa kinara katika kuzalisha Wataalam katika masuala ya uongozi.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa ameipongeza Wizara ya elimu katika kusimamia mabadiliko makubwa ya elimu yanayolenga kuwezesha kutoa elimu inayojenga ujuzi kwa Wahitimu katika ngazi mbalimbali

“Nawapongeza kwa namba mnavyomsaidia Mhe. Rais kusimamia vema mageuzi ya elimu nchini, nimeona kazi kubwa iliyofanyika katika maboresho ya Sera ya elimu na Mitaala hii itawezesha kuinua kiwango cha elimu, ” Alisema Mhe. Malima

Akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa miradi na shughuli mbalimbali za kitaaluma Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. William Mwegoha amesema Chuo hicho kinaendelea kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji pamoja na kuhuisha mitaala iweze kuakisi mabadiliko makubwa yanayotarajiwa katika taifa hilo.

“Tunatambua mageuzi haya yanaakisi malengo ya serikali ya awamu ya Sita ambayo inasisita umuhimu wa Elimu inayotolewa katika ngazi zote nchini, kukidhi mahitaji ya jamii katika taifa letu” amebainisha Prof. Mwegoha.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza  wakati akihutubia Baraza la Wahitimu katika Chuo Kikuu cha Mzumbe  lililofanyika leo Novemba 22,2023 Mjini Morogoro.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la 23 la wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Saida Yahya Othman akizungumza.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Saida Yahya Othman (kulia) akiteta jambo na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam  Malima akisoma hotuba yake wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la 23 la wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Sehemu ya watumishi wa chuo hicho.
Sehemu ya watumishi wa chuo hicho. 
Sehemu ya watumishi wa chuo hicho.

About the author

mzalendo