Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUWA

Written by mzalendo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud  kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa  Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Rashid Hadid Rashid  kuwa Mkuu wa Kaskazini  Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa  Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Sadifa Juma Khamis kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa  Mkuu wa Wilaya Kaskazini “A”Unguja 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Othman Ali Maulid kuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini “A” Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Galos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar, kabla alikuwa  Mwanajeshi Mstaafu .

Mwanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Jaji wa Mahkama Kuu Mhe.Mohamed Ali Mohamed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na   Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na   Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali wakiwa katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni Iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu

About the author

mzalendo