marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

1win

marsbahis

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

jojobet giriş

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Featured Kitaifa

NAIBU NDEJEMBI:UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI WA AWALI NA DARASA LA KWANZA UFANYIKE KIKAMILIFU

Written by mzalendo

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi akihimiza uandikishaji wa wanafunzi wa awali na darasa la kwanza katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wakati wa ziara yake iliyolenga kuhimiza uwajibikaji kwa watendaji wa halmashauri hiyo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu alipowasili katika halmashauri hiyo kuhimiza uwajibikaji.

Mwonekano wa moja ya shule iliyojengwa na Serikali katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu.

Wanafunzi katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu wakifurahia miundombinu elimu iliyoboreshwa na Serikali.

Na. James K. Mwanamyoto

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha uandikishaji wa wanafunzi wa awali na darasa la kwanza unaanza kwa kasi na ufanyika kikamilifu.

Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo leo kwa wakurugenzi, wakati wa ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu yenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watendaji katika halmashauri hiyo.

Mhe. Ndejembi amesema, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za msingi na za awali hivyo uandikishaji ni lazima uendane na jitihada zilizofanywa na Mheshimiwa Rais.

“Kazi kubwa ya ujenzi na ukarabati wa madarasa katika shule za msingi na awali imefanyika, hivyo watendaji wa Serikali wanapaswa kuhakikisha watoto wote wanaotakiwa kuanza elimu ya awali na msingi wanaandikishwa ili watumie miundombinu iliyongengwa na Rais Samia,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Aidha, Mhe. Ndejembi ametoa wito kwa Halmashauri zote ambazo hazijakamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule za msingi na awali pamoja na ambazo hazijakamilisha usajili wa shule kuhakikisha wanakamilisha haraka iwezekanavyo.

Mhe. Ndejembi amesema kuwa, Ofisi ya Rais-TAMISEMI chini ya uongozi wa Waziri Mchengerwa haitomvumilia yeyote atakayebainika kuzembea katika kukamilisha ujenzi wa shule ambazo Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi zijengwe kwa lengo la kuboresha sekta ya elimu.

About the author

mzalendo