Featured • Kitaifa KISHINDO CHA WANANCHI WA MWANZA, MAPOKEZI YA MAKONDA SENGERAMA 1 year agoby mzalendo93 Views Written by mzalendo Msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wapokelewa na Wananchi wa Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza ambapo leo Novemba 12, 2023 anaendelea na Ziara yake Mikoa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn