Featured Kitaifa

WAZIRI MKUIU APOKEA TUZO

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha tuzo aliyopewa na Bodi ya Usajili wa Wathamini ikiwa ni pongezi za dhati kwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa juhudi zake za kuwaletea maendeleo Watanzania na kuwajengea uwezo wa kujitegemea, .

Waziri Mkuu alipokea tuzo hiyo baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Bodi hiyo uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma,Novemba 09, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo