slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

Piabet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

holiganbet

marsbahis

matbet

sekabet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kimataifa

TANZANIA NA UGANDA ZATIA SAINI MKATABA MAHSUSI KWA AJILI YA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BOMBA LA GESI

Written by mzalendo

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruth Nankabirwawakibadilisha Mkataba mara baada ya kusaini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda hafla iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

……..

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda.

Mkataba huo umesainiwa leo jijini Dodoma na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Mhe. Ruth Nankabirwa, Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Jamhuri ya Uganda.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, kusainiwa kwa Mkataba huo kumetokana na Makubaliano ya Awali (Memorandum of Understanding – MoU) kati ya nchi hizi mbili yaliyosainiwa mwezi Agosti, mwaka 2018 kwa ajili ya ujenzi wa Bomba la kusafirisha Gesi Asilia kutoka Tanzania kwenda Uganda kutokana na Tanzania kugundua kiasi kikubwa cha gesi katika kina kirefu cha bahari na nchi kavu.

“ Nchi hizi mbili zimekubaliana kufanya kazi ya upembuzi yakinifu kwa pamoja kuwezesha tathmini ya mradi na kutoa muongozo wa uwezekano wa mradi ikiwemo muundo wa mradi, mahitaji ya gesi, ukubwa wa bomba na taarifa nyingine muhimu zinazohusu mradi huo kwa ajili ya kufanya maamuzi.” Amesema Dkt. Doto Biteko

Dkt. Biteko amesema kuwa, Nishati ni ufunguo wa maendeleo kwa nchi yoyote ile duniani na umoja ni nguvu hivyo ametoa wito kwa nchi hizi mbili kutumia fursa ya kutekeleza mradi huu ambao utaunganisha nchi hizi mbili katika nyanja ya kiuchumi na kijamii.

Amesema kuwa, licha ya Tanzania kugundua kiasi kikubwa cha gesi asilia takiriban futi za ujazo trilioni 57.54, mahitaji ya rasilimali hii yanakua kwa kasi ndani na nje ya nchi na hii inapelekea Serikali kuweka nguvu zaidi katika utafutaji kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa nishati hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo Eyasi Wembere, Mnazi Bay Kaskazini, Songosongo Magharibi, Ziwa Tanganyika na katika kina kirefu cha maji baharini.

Ameongeza kuwa, Tanzania inaendelea kutafuta wabia wa kimkakati watakaoweza kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ili kutafiti na kuendeleza vyanzo vya upatikanaji wa mafuta na gesi.

Pamoja na kupongeza timu zilizofanya kazi hadi kupelekea kusainiwa kwa mkataba huo, ameagiza kuwa kazi zilizopangwa kufanyika baada ya kusainiwa kwa mkataba huo zifanyike kwa wakati ikiwemo upatikanaji wa Mshauri Mwelekezi wa kufanya kazi hii na kila upande unapaswa kuona kuwa mradi huo ni wa kipaumbele.

Kwa upande wake, Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini kutoka nchini Uganda Mhe. Ruth Nankabirwa amesema kuwa, Uganda inatambua umuhimu wa mradi huu na kuongeza kuwa kumekuwepo na mahitaji makubwa ya matumizi ya gesi hivyo wana kila sababu ya kuhakikisha kunakuwepo na uharakishwaji wa mradi huo.

Ameitaka Kamati ya pamoja ya utekelezaji wa Mradi huo kuhakikisha wanaharakisha mchakato wa manunuzi ya Mshauri Mwelekezi wa mradi ili kuharakisha upembuzi yakinifu tayari kwa utekelezaji.

Aidha, amesema Tanzania na Uganda zimekuwa zikishirikiana katika miradi mbalimbali kwenye Sekta ya Nishati ikiwemo Mradi wa uzalishaji wa umeme wa maji Megawati 14 wa Kikagati, mradi wa kusafirisha umeme kutoka Masaka Mutukula hadi Mwanza na mradi wa Bomba la Mafuta ambalo waliona lipite Tanzania.

Hafla hiyo, ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Makatibu Wakuu wa Wizara za Nishati kutoka nchi zote mbili, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara hizo ikiwemo TPDC, EWURA, PURA na UNOC na wawakilishi wa Wizara ya Fedha, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruth Nankabirwa,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

KATIBU  Mkuu wa Wizara  ya Nishati Mhandisi Felichesmi Mramba,akielezea umuhimu wa kuingia makubaliano ya  utiaji saini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda hafla iliyofanyika iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

 Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruth Nankabirwa, wakisaini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda hafla iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruth Nankabirwawakibadilisha Mkataba mara baada ya kusaini Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda hafla iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

 Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye,akitoa neno la shukrani mara baada ya kusainiwa kwa  Mkataba mahsusi Kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda hafla iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruth Nankabirwa,wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kusaini   Mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda Uganda hafla iliyofanyika leo Novemba 9,2023 jijini Dodoma.

About the author

mzalendo