slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

telegram ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

betist

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KAPINGA ATETA  NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA MUFINDI PAPER MILL

Written by mzalendo

Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Ujumbe kutoka Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayotarajia kuzalisha Umeme wa Megawati 24 kwa kutumia mabaki ya Miwa katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma,wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Judith wakati wa Kikao na Ujumbe huo,  Jijini Dodoma.

…..

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekutana na kufanya mazungumzo na watendaji wa Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayomiliki mashamba ya miwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma ambao wamweleza Naibu Waziri wa Nishati, kuhusu nia yao ya kuzalisha umeme kwa kutumia mabaki ya miwa ifikapo mwaka 2026.

Kikao hicho kimefanyika Jijini Dodoma tarehe 6 Novemba, 2023 na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu, Watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).

Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Anoop Singh amemweleza Naibu Waziri kuwa, kampuni hiyo ambayo ina hekta za 30,000 za mashamba ya miwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma mwaka 2026 inatarajia kuzalisha umeme wa kiasi cha Megawati 24 na ifikapo mwaka 2028 wataongeza uzalishaji na kufikia Megawati 60.

Amesema kuwa, umeme utakaozalishwa na kampuni hiyo utatumika kuendeshea mitambo katika kampuni hiyo na mwingine wanatarajia kuingizwa katika gridi ya Taifa baada ya majadiliano na TANESCO.

Ili kuweza kufanikisha nia hiyo ya kuzalisha umeme, Sigh alimweleza Naibu Waziri kuhusu maombi mbalimbali ikiwemo ya kujengewa miundombinu ya kusafirisha umeme ya kV 132 au 400 kV kutoka kwenye kiwanda ili kuingiza umeme kwenye gridi ya Taifa na kujengewa kituo cha umeme cha kV 11/132 kV au kituo cha 11kV/400kV.

Naibu Waziri wa Nishati, ameipongeza kampuni hiyo kwa uwekezaji huo na kueleza kuwa Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano kadri itakavyowezekana kwani nia ya Serikali ni kufanya kazi pamoja na Sekta Binafsi katika nyanja mbalimbali ikiwemo umeme.

Kuhusu maombi mbalimbali yaliyowasilishwa na kampuni hiyo, Naibu Waziri ameelekeza wataalam kutoka TANESCO kushirikiana na Wataalam kutoka kampuni hiyo ili kuona namna bora ambayo Serikali kupitia TANESCO inaweza kutekeleza maombi hayo.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri wa Nishati amefanya mazungumzo na watendaji kutoka Kampuni ya Songas wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Anael Samuel ambaye alieleza nia yao ya kujitambulisha kwa Naibu Waziri pamoja na kumweleza taarifa za sasa kuhusu uendeshaji wa kampuni hiyo inayozalisha umeme wa Megawati 190 na kuingiza katika gridi ya Taifa.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayotarajia kuzalisha Umeme wa Megawati 24 kwa kutumia mabaki ya Miwa katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, (hawapo pichani) waliofika kujitambulisha kwa Naibu Waziri huyo na kumueleza mipango ya uwekezaji wa kampuni hiyo, Jijini Dodoma.  

Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Ujumbe kutoka Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayotarajia kuzalisha Umeme wa Megawati 24 kwa kutumia mabaki ya Miwa katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma,wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Judith wakati wa Kikao na Ujumbe huo,  Jijini Dodoma.

Kaimu Kamishna wa Umeme na Nishati Mbadala, Mhandisi Yusuph Msembele akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Nishati (hayupo pichani) na Ujumbe wa Kampuni ya Mufindi ya Mufindi Paper Mill inayotarajia kuzalisha Umeme wa Megawati 24 kwa kutumia mabaki ya Miwa katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma,  Jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO), Mhandisi Athanasius Nangali akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Nishati (hayupo pichani) na Ujumbe wa Kampuni ya Mufindi ya Mufindi Paper Mill inayotarajia kuzalisha Umeme wa Megawati 24 kwa kutumia mabaki ya Miwa katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Jijini Dodoma.

Ujumbe wa Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayotarajia kuzalisha Umeme wa Megawati 24 kwa kutumia mabaki ya Miwa katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga (hayupo pichani) walipofika kujitambulisha kwa Naibu Waziri huyo na kumueleza mipango ya uwekezaji ya Kampuni yao, Jijini Dodoma. 

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga (Kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Songas, Anael Samuel waliofika ya kujitambulisha kwa Naibu Waziri huyo pamoja na kumweleza taarifa za sasa kuhusu uendeshaji wa kampuni hiyo inayozalisha umeme wa Megawati 190 na kuingiza katika gridi ya Taifa,  Jijini Dodoma.

 

About the author

mzalendo