Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

grandpashabet

grandpashabet giriş

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KAPINGA ATETA NA UONGOZI WA TANESCO

Written by mzalendo
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga, akizungumza na Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO) wakati wa kikao chache na Uongozi huo tarehe 2 Novemba 2023, Jijijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga (katikati), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamohanga(kushoto) wakipitia nyaraka wakati wa kikao Naibu Waziri huyo na Uongozi wa TANESCO tarehe 2 Novemba 2023, Jijijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga, akizungumza na Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO) wakati wa kikao chache na Uongozi huo tarehe 2 Novemba 2023, Jijijini Dodoma.

Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakipitia nyaraka wakati wa kikao Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga, tarehe 2 Novemba 2023, Jijijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka (kulia) wakijadili jambo wakati wa kikao Naibu Waziri huyo na Uongozi wa TANESCO tarehe 2 Novemba 2023, Jijijini Dodoma.

– Advertisement –

Ad image

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga akizungumza wakati wa kikao cha Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga na Uongozi wa TANESCO tarehe 2 Novemba 2023, Jijijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakati wa Kikao cha Naibu Waziri huyo na Uongozi wa TANESCO tarehe 2 Novemba 2023, Jijini Dodoma.

……………………….. 

*Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Uongozi wa TANESCO

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amekutana na Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kuwaeleza kuwa wahakikishe wanamaliza changamoto sugu zinazowakabili wananchi.

Mhe. Judith amekutana na Uongozi huo tarehe 2 Novemba, 2023 Jijini Dodoma kwa lengo la kuzungumza nao na kufahamu namna walivyojipanga katika katika kutatua changamoto moto mbalimbali za umeme kwa wananchi.

Katika Mazungumzo yake, Mhe. Kapinga ameuelekeza Uongozi huo kuwahakikisha wanatatua changamoto sugu kwa kufanya kazi za ziada ili kuweza kupata mabadiliko katika utoaji wa huduma.

Amewataka kuweka mipango ya muda mrefu ili kumaliza changamoto ndogondogo ikitolea mfano kukatika kwa umeme.

Pia amewataka kutatua kero zinazowakabili wananchi kwa wakati na kuzitolea ufafanuzi.

“Dunia imeendelea sana na teknolojia imekuwa mno, umeme kwa sasa si anasa hivyo kila mtu anahitaji huduma hiyo kwa matumizi ya aina mbalimbali, tuhakikishe tunawafikia wananchi ili waendane kulingana na Dunia ya sasa”, alisisitiza Mhe. Kapinga.

Kuongeza kasi ya kuunganisha wateja wapya na kuyafikishia huduma ya umeme maeneo ambayo bado hayajafikiwa na huduma hiyo.

Pia amewataka kuwashirikisha na kuwafahamisha viongozi wa Chama na Serikali wakiwemo Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Watendaji wa Serikali za Mitaa kuhusu miradi mbalimbali inayoendelea katika maeneo yao ili wafahamu vema na kuwaeleza wananchi wanaowaongoza.

Pamoja na mambo mengine amewataka kusimamia kwa ukaribu miradi ya vipaumbele ikiwemo ule wa kupelekea umeme Katavi, Rukwa, Kigoma, Kagera, Mtwara na Lindi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamohanga, amemueleza Naibu Waziri kuwa wamepokea maelekezo hayo na wapo tayari kwa utekelezaji.

Mkutano huo pia umehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga,na Viongozi wengine waandamizi kutoka TANESCO.

About the author

mzalendo