Featured • Michezo YANGA SC KUWANIA TUZO KIPENGELE CHA KLABU BORA AFRIKA 1 year agoby mzalendo122 Views Written by mzalendo Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC wanawania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023. Tuzo hizo zitatolewa Desemba 11 nchini Morocco FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn