Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendo

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Magharibi, David Mathayo David (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Niovemba 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

About the author

mzalendo