Featured Kitaifa

RAIS ALHAJJ DK. MWINYI ATEMBELEA WAZEE

Written by mzalendo

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake  Sheikh. Machano Makame Machano, alipotembelea nyumbani kwake Muembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja, kumjulia hali yake ikiwa ni utaratibu wake kuwatembelea Wazee mbalimbali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh.Machano Makame Machano (kulia kwa Rais) alipofika nyumbani kwake Muembemakumbi Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali yake na kumsalimia na (kulia kwake) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Othman Ame Chum na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Alawi Suleiman Khatib, alipofika nyumbani kwake Makadara Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali yake na kumsalimia.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Alawi Suleiman Khatib, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Makadara Wilaya ya Mjini Unguja, kumjulia hali yake na kumsalimia,ikiwa ni utaratibu wake kuwatembelea Wazee mbalimbali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua, baada ya kumaliza mazungumzo na kumsalimia Mzee Alawi Suleiman Khatib.(kulia kwa Rais) alipofika nyumbani kwake mtaa wa Makadara Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendo