Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Uncategorized

WAZIRI MKUU AKABIDHIWA TAARIFA YA TIMU YA KUCHUNGUZA TUHUMA ZA UBADHIRIFU MANISPAA YA KIGOMA UJIJI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya timu aliyoiteua ya kuchunguza tuhuma za ubadhirifu wa fedha kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kutoka kwa Mwenyekiti wa timu hiyo, Shedrack Kimaro, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……….

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ambapo imebainika watu 10 wanahusika na mtandao wa uhamishaji fedha kinyume cha taratibu.

“Taarifa nimeipokea na mapendekezo ya Kamati wote tumeyasikia. Hatua za haraka zichukuliwe kwa sababu Mheshimiwa Rais anatafuta fedha za kuleta maendeleo lakini kuna watu wachache wanafanya ubadhirifu,” amesema.

Akizungumza baada ya kupokea taarifa hiyo leo (Jumatano, Oktoba 25, 2023) ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema kila mtumishi wa umma ni lazima atunze na kuratibu vizuri matumizi ya fedha zinazopatikana.

Amewataka Mawaziri na Makatibu Wakuu wasiridhishwe na taarifa za miradi wanazopokea pindi wakiwa ziarani kwani licha ya kuwa kuna wataalamu wanatoa taarifa nzuri mbele ya viongozi hao, bado kuna tricks wanachezacheza.

Akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Kigoma, Septemba 20-22, mwaka huu, Waziri Mkuu alipata taarifa ya uwepo wa fedha zilizoingizwa kwenye akaunti ya Amana ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kutoka TAMISEMI na kisha fedha hizo kuondolewa baada ya muda bila maelekezo maalum wala kujua zilitumikaje.

“Hapa Manispaa mnapokea fedha, zinakaa kwenye akaunti kwa muda halafu zinapotea, hazijulikani zimefanya nini. Nitaleta timu, waje wafuatilie hapa Kigoma, waende hadi TAMISEMI ili tuone huo mnyororo unaenda wapi,” alisema Waziri Mkuu wakati akizungumza na viongozi wa dini, Serikali, Chama cha Mapinduzi (CCM) na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwenye ukumbi wa NSSF, Kigoma mjini Septemba 22, mwaka huu.

Mapema, akitoa taarifa kwa niaba ya wenzake, Mwenyekiti wa timu ya uchunguzi, alisema timu hiyo ilibaini kuwa uchepushaji wa fedha hizo unafanyika kwa kutumia njia kadhaa ikiwemo kuomba kibali kutoka HAZINA cha kuvuka na bakaa ya fedha za miradi mwaka wa fedha unapokaribia kwisha.

“Timu ya uchunguzi imebaini kuwa jumla ya sh. milioni 463.59 zilitumwa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma na hazikuwa kwenye mpango wala bajeti ya Manispaa na hazijawahi kuombewa matumizi kama bajeti ya ziada,” alisema.

Aliwataja watumishi waliohusika na uchepushaji wa fedha hizo kuwa ni Bw. Ferdinand Simon Filimbi, Bw. Salum Juma Said, Bw. Kombe Salum Kabichi, Bw. Athumani Francis Msabila, Bw. Moses Charles Zahuye, Bi. Jema Linus Mbilinyi, Mhandisi Joel Langford Shirima, Bw. Aidan Zabron Mponzi, Bi. Tumsifu Christopher Kachira na Bw. Mzee Mohamed Ubwa. Alisema watumishi hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote.

Alisema mbali ya watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma, wamo pia maafisa kutoka TAMISEMI, HAZINA na baadhi ya wafanyabiashara ambao wanatumiwa ili kupitisha miamala ya fedha hizo.

Wakati huohuo, Mwenyekiti huyo alisema kuna ubadhirifu mkubwa unafanyika kupitia Kitengo cha Usimamizi wa Fedha katika Akaunti Jumuifu ya Amana kilichopo TAMISEMI. “Timu imebaini kuwa Kitengo cha Usimamizi wa Fedha katika Akaunti Jumuifu ya Amana kilichopo TAMISEMI kinahusika kutuma fedha kwenye Halmashauri mbalimbali na kisha kuzitoa kwa kushirikiana na watumishi wa Halmashauri hizo.”

Alisema baadhi ya Halmashauri zinakuwa hazijaomba kibali cha kuvuka na fedha za bakaa kutoka HAZINA lakini zinatumiwa fedha hizo, kuna ambazo zinaomba kibali lakini zinapewa pungufu ya fedha zilizoomba na zinazobakia hazijulikani zinafanya nini.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya timu aliyoiteua ya kuchunguza tuhuma za ubadhirifu wa fedha kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 25, 2023. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, Deogratius Ndejembi na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Shedrack Kimaro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo