Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

TAWA YAFADHILI MRADI WA UJENZI WA MADARASA KALIUA, WANAFUNZI WAELEZA HISIA ZAO.

Written by mzalendo

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefadhili mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili, ofisi moja ya walimu na jumla ya madawati 30 katika shule ya msingi Usinge iliyopo wilaya ya kaliua Mkoani Tabora

Mradi huu ambao tayari umekwishakamilika na kuanza kutumika umegharimu kiasi cha Tsh. Millioni 50 (50,000,000/=) ambazo ni fedha zinazotokana na bajeti ya ndani ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA

Akiongea na waandishi wa habari katika ziara ya ukaguzi wa mradi huo wa maendeleo kwa jamii Oktoba 24, 2023 Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja ameeleza kuwa TAWA iliona adha wanazozipata wanafunzi wa Shule ya msingi Usinge kwa kukosa madarasa ya kutosha, ofisi ya walimu pamoja na madawati hivyo ikaona vyema kufadhili mradi huo ili kuwapunguzia adha hizo na kuwapa fursa wananchi kuona faida zitokanazo na shughuli za uhifadhi na umuhimu wa uwepo wa Taasisi hiyo katika maeneo yao
.
“Ifahamike kuwa changamoto kubwa katika vijiji vinavyozunguka hifadhi ni kwamba shule nyingi zinakosa madarasa na madawati ya kutosha lakini pia wanakosa nyenzo mbalimbali za kuwawezesha wao kuweza kusoma katika mazingira bora” amesema

“..kwahiyo Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania iliona vyema kufadhili miradi hii ili kuwawezesha wananchi wanaozunguka maeneo haya kufaidi rasilimali hizi za Wanyamapori na uhifadhi kwa ujumla” ameongeza

Salma Madua Ally ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule hiyo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan na Taasisi ya TAWA kwa ufadhili huo ambao ameuelezea kama ni msaada mkubwa kwao ambao hawakuutegemea kwani umepelekea kuongeza uwezo wao wa uelewa na ufaulu darasani

“Nawashukuru wasimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA pia tunamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea madarasa ambayo hatukutegemea kuwa nayo, pia madarasa haya yametufanya tuweze kuwa tunafaulu na kuwa tunaelewa vizuri” amesema

“…Kipindi cha nyuma tulikuwa tunakaa darasa moja watu wengi, tulikuwa hatuwezi kuelewa kwa urahisi lakini saizi tumegawanyishwa madarasa” ameongeza

Naye Joseph Paulo mwanafunzi wa Shule hiyo ameeleza kuwa kabla ya ujenzi wa madarasa na kufadhiliwa madawati hayo walikuwa wakikaa chini huku wanafunzi wachache wakikalia madawati hali ambayo ilifanya nguo zao zichafuke na kukosa umakini darasani, lakini kwa sasa wote wanakaa kwenye madawati na kusomea kwenye vyumba vizuri vya madarasa

Kwa upande wake, Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Bw. Ibrahimu Bakari Juma ameeleza kuwa shule ya Usinge ilikuwa na uhaba wa vyumba sita vya madarasa pamoja na madawati 90 hivyo ufadhili huo uliotolewa na Serikali kupitia TAWA umewezesha idadi ya wanafunzi 90 kukaa kwenye madawati

Aidha ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dr. Samia Suluhu Hassan lakini pia ameelekeza pongezi na shukrani zake kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kwa ufadhili huo.

About the author

mzalendo