Uncategorized

KATIBU WA NEC, SUKI AKABIDHIWA OFISI CCM MAKAO MAKUU – DODOMA

Written by mzalendo

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi Rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara Hiyo Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Makabidhiano hayo yamefanyika Mapema Leo Tarehe 25 Oktoba 2023 katika Ofisi za CCM Makao Makuu jijini Dodoma.

About the author

mzalendo