Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI MCHENGERWA AFURAHISHWA NA TEKNOLOJIA MBADALA YA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA YA MAWE

Written by mzalendo
Waziri  wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Mohammed Mchengerwa, akizungumza  na watumishi wa TARURA  katika kikao cha watumishi wa Wakala huo kilichofanyika  Makao Makuu ya TARURA jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Mhandisi Rogatus Mativila akiongea na watumishi wa TARURA(hawapo pichani) wakati wa kikao cha pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohammed Mchengerwa 
Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff akiongea wakati wa kikao hicho ambapo alisema wataendelea kuwa wabunifu hususan maeneo ya majiji na miji ili kuondoa misongamano
Mtendaji Mkuu wa TARURA, Mhdandisi Victor Seff akimsikiliza Waziri wa TAMISEMI wakati wa kikao chake na watumishi wa TARURA kilichofanyika ofisi za Makao Makuu ya TARURA jijini Dodoma kilia ni Mkurugenzi wa Huduma Saidizi bi. Azmina Mbilinyi.
Baadhi ya Watumishi wa TARURA  wakimsikiliza Waziri wa TAMISEMI (hayupo pichani)  
Watumishi wa TARURA wakiwa kwenye kikao cha pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ambapo Waziri huyo aliwapongeza TARURA kwa kazi nzuri  wanayofanya na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa uadilifu na kwa kasi 
Na.Catherine Sungura, Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kazi kubwa wanayofanya tangu kuanzishwa kwakwe.
Waziri Mchengerwa ameyasema hayo jana wakati wa kikao chake na Menejimenti na watumishi wa TARURA kilichofanyika ofisi za TARURA zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Mhe. Mchengerwa amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa Wakala huyo mwaka 2017 kumekuwa na ongezeko la barabara za lami kutoka kilomita 1,449.55 hadi kilomita 3,053.26 sawa na ongezeko la  110% pia barabara za changarawe zimeongezeka kutoka kilomita 24,405.40 hadi kilomita 38,141.21 sawa na ongezeko lako la 56%.
“Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza fedha za matengenezo,ukarabati na ujenzi wa barabara na madaraja kutoka Bilioni 275.03 mwaka 2020/21 hadi kufikia Bilioni 836.237 kwa mwaka wa fedha 2021/22,2022/23 sawa na ongezeko la 204% na mwaka huu 2023/2024”.Amesema Mhe. Mchengerwa.
Aidha, ameipongeza TARURA kwa kutumia teknolojia mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara ya mawe ‘cobble stone roads’ na madaraja ya mawe ‘stone arch bridges’ na majaribio ya teknolojia nyingine katika kuboresha barabara wanazosimamia.
Hata hivyo ameitaka TARURA  kulipa kipaumbele jukumu la  kukuza na kuwaendeleza wakandarasi wazawa ili kutoa mchango mkubwa kwa Taifa na kuwataka kuwatambua makampuni ya wakandarasi ishirini kila mkoa.
Naye,Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff amesema wataendelea kufanya kazi ili kutimiza malengo ya TARURA na kuhusu kukuza wakandarasi wazawa amesema watashirikiana na bodi ya wakandarasi nchini pamoja na taasisi za kifedha.
Matumizi ya teknolojia mbadala Mhandisi Seff amesema teknolojia hiyo ndio muelekeo wa TARURA wa kupunguza gharama na kutunza mazingira.

About the author

mzalendo