marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

1win

marsbahis

ngsbahis

betlike

teosbet

batumslot

mislibet

meritbet giriş

artemisbet

meritbet

jojobet

kulisbet giriş

meritking

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATETA NA BALOZI WA JAPAN TANZANIA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Yasushi Misawa alipowasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwaajili ya Mazungumzo. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Yasushi Misawa, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Oktoba 2023.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Oktoba 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Oktoba 2023.

………….

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 18 Oktoba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Yasushi Misawa, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais ameishukuru serikali ya Japan kwa ushirikiano imara uliopo tangu Tanzania ilipopata uhuru mwaka 1961.

Amesema Tanzania inatambua mchango wa Japan katika kuunga mkono juhudi za maendeleo hususani katika ujenzi wa miundombinu, maji, sekta ya elimu pamoja na masuala mbalimbali ya ushirikiano.

Makamu wa Rais amesema kupitia Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD) Tanzania imenufaika kupitia programu mbalimbali na dhamira ya serikali ni kuendelea kushirikiana kwa karibu na serikali ya Japan kwa manufaa ya pande zote mbili.

Makamu wa Rais amesisitiza kuimarishwa ushirikiano zaidi wa Tanzania na Japan katika biashara, uwekezaji, utalii, matibabu ya kibingwa, mafunzo katika utalaamu na ubobezi wa masuala ya afya pamoja na vifaa tiba na dawa.

Pia ametaja maeneo mengine ya ushirikiano ikiwemo uhifadhi wa mazingira, utaalamu katika biashara ya kaboni pamoja na teknolojia bora katika sekta ya uchumi wa buluu.

Kwa upande wake Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa amesema katika kuendelea kuimarisha ushirikiano uliyopo baina ya mataifa haya mawili, tayari yameanzishwa majadiliano ya kibiashara baina ya Tanzania na Japan (Bilateral Bussiness Dialogue) kwa lengo la kuimarisha biashara kwa pande zote mbili.

Ameongeza kwamba Japan imeendelea kushirikiana na Tanzania katika sekta ya afya ikiwemo shirika binafsi la TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP ambalo limekuwa likishirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma na pia limeweza kuijengea uwezo Hospitali ya Benjamin Mkapa kufanya huduma ya upandikizaji figo.

Pia amesema ipo dhamira ya ujenzi wa kituo cha matibabu ya figo kitakachoweza kusaidia mikoa mbalimbali pamoja na nchi za Jirani pamoja na uwekezaji katika matibabu ya kibingwa ya upasuaji ubongo (Neurosurgery).

Aidha Balozi Misawa amesema Japan itaendelea kuwa mdau wa utalii nchini Tanzania ambapo idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo wanadhamiria kutembelea na kupanda mlima Kilimanjaro. 

About the author

Alex Sonna