Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akiweka jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Hassan Wakasuvi mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na Kwaya ya Watoto wa Shule ya Msingi Majengo mara baada ya kuwasili katika Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Vyumba vya Madarasa ya Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akiweka jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.