Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

Gameofbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

DKT. HOSEA-KUPITIA MRADI WA HEET TUNAKWENDA KUONGEZA WATAALAM

Written by Alex Sonna

Mradi wa Mageuzi ya Kiuchumi kupitia Elimu ya Juu (HEET) unakwenda kusaidia nchi kuongeza idadi ya watalamu kwa upande wa sayansi katika kipindi kifupi kijacho.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Kennedy Hosea, wakati akizindua programu maalumu ya msingi kwa wasichana inayofadhiliwa na mradi wa HEET, leo Oktoba 13, 2023 Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo katika tukio hilo Dkt. Hosea amemuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Caroline Nombo.

“Tunataka tupandishe idadi ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu nchini, wanaojiunga elimu ya chuo kikuu nchini kwa sasa ni asilimia 7 pekee, tunataka tupandishe hiki kiwango. Huu mradi wa HEET utasaidia kupata wanafunzi ambao hawapo katika mfumo rasmi kwa lengo la kuwawezesha kupata sifa na kuongeza idadi ya wanaojiunga na elimu ya juu nchini na tunataraji kupata wataalamu kutoka kwenye kundi hili siku zijazo.” Amesema Dkt. Hosea.

Aidha, Dr. Hosea, amewataka wanafunzi waliopata fursa hiyo kujiandaa vyema ili waweze kufikia malengo yao ambayo hapo awali yalififishwa kutokana na changamoto mbalimbali zilizowakabili na kuwataka wawe mfano kwa kufanya vyema ili kuipa nguvu serikali iweze kuongeza udahili na ufadhili wa namna hii kwa wasichana wengine wenye uhitaji kutoka jamii ambazo hazijafaidika sana na elimu ya juu. Dkt. Hosea amempongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono yake yenye mawanda mapana katika kuwaletea maendeleo Watanzania katika nyanja zote na elimu ikipewa nafasi ya juu kabisa.

“Haya yote yanayofanyika katika sekta ya Elimu ni maelekezo kutoka kwa Rais wetu Mama Samia mara tu alipoapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliagiza kufanya Mapitio ya Mitaala, Sera na sheria ya Elimu nchini na kwa sasa wizara imefika hatua ya juu sana katika kutekeleza maelekezo hayo na sasa tunasubiri vyombo vya maamuzi vijadili na kuridhia ili utekelezaji uanze. Mabadiliko hayo yanalenga katika kuzalisha wahitimu wenye elimu ujuzi ambao wataweza kujiajiri na kuajiri wenzao.” Ameongeza Dkt. Hosea.

Akizungumza katika hafla hiyo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Elifas Bisanda, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kushiriki kwa kiwango kikubwa katika kuchangia maendeleo ya chuo hiki tangu kuanzishwa kwake, ambapo kwa sasa benki hiyo imefadhili hawa wanafunzi elfu moja na ameihakikishia benki hiyo pamoja na wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwa chuo hiki kimejiandaa vyema kuendesha mafunzo hayo.

“Chuo chetu kimejiandaa vyema kuendelea kuitangaza programu hii tukitarajia baada ya miaka kadhaa mbele tutakuwa tumetayarisha idadi kubwa ya wanawake wanaosoma fani za sayansi katika vyuo vikuu mbalimbali nchini. Ufadhili huu umelenga wasichana wenye mchepuo wa sayansi ili nanyi mshiriki kikamilifu katika kuleta maendeleo ya nchi yetu.” Amesema Prof. Bisanda.

Awali akitoa maelezo ya utambulisho wa programu maalumu ya msingi kwa wanafunzi wasichana katika ufunguzi huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hiki anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Huduma za Ushauri wa Kitaalamu na ambaye pia ndiye mratibu wa mradi wa HEET chuoni, Prof. Deus Ngaruko, amesema, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kimejiandaa kutangaza awamu ya pili ya udahili kwa wanafunzi wa programu hii ambao wataanza kusoma mwezi wa Disemba 2023 ikiwa ni mchakato wa kuhakikisha kuwa idadi ya wanafunzi ilivyopangwa na mradi inafikiwa ipasavyo.

“Hivi karibuni tutatangaza tena awamu ya pili ya programu hii ili wakifika idadi ya wanafunzi mia mbili tuweze kuanza mafunzo Disemba 2023 na hatimae awamu ya tatu mwezi wa Aprili 2024. Tunaipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ufadhili kwa wanafunzi hawa. Hakika, ufadhili huu ni muhimu sana na utasiaidia katika kuongeza wataalamu wa fani za sayansi hapa nchini.” Amesema Prof. Ngaruko.

Mradi wa HEET umetoa ufadhili wa wanafunzi elfu moja kwa kipindi cha miaka mitano cha mradi huu kusoma progam maalumu ya msingi katika masomo ya sayansi kwa wasichana waliokuwa wamekosa sifa za kujiunga moja kwa moja vyuo vikuu katika ngazi ya shahada za awali, wanfunzi wa kike wapatao 140 wamefanikiwa kujiunga na mafunzo katika awamu ya kwanza na watakaofanikiwa kumaliza vyema watajiunga na elimu ya juu katika vyuo mbalimbali nchini na wanatarajiwa kunufaika na mikopo itolewayo na taasisi mbalimbali za mikopo nchini.

Umaalumu katika programu hii ni kwamba wanafunzi hawa wamepata ufadhili wa masomo yao kwa asilimia mia moja (100%) ikiwa ni ada,viandikwa, malazi, chakula, nauli na vishikwambi kwa ajili ya Kujifunzia katika masomo yao. Mafunzo haya ni ya mwaka mmoja na wanafunzi watakapohitimu na kupata sifa stahiki za ufaulu watajiunga na masomo ya shahada za sayansi, teknolojia, uhandisi na hesabu.











About the author

Alex Sonna