Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

SERIKALI KUONGEZA WODI MAALUM 100 ZA UANGALIZI WA WATOTO NJITI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akizungumza  wakati akifungua Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jijini Dodoma kwa lengo la kuangalia ustawi wa mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kukua kwake.

Mshauri Mkuu Mwandamizi wa Sera na mipango kutoka USAID Tanzania, Jema Bisimba,akizungumza  wakati wa Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jijini Dodoma kwa lengo la kuangalia ustawi wa mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kukua kwake.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (hayupo pichani)  wakati akifungua Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jijini Dodoma kwa lengo la kuangalia ustawi wa mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kukua kwake.

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jijini Dodoma kwa lengo la kuangalia ustawi wa mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kukua kwake.

Na. WAF – Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Afya katika kuboresha Huduma za afya nchini imejenga wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti 128 na kwa mwaka huu imepanga imepanga kujenga wodi nyingine 100 ili kuhakikisha vifo vya watoto wachanga vinapungua na kuisha kabisa.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakati akifungua Kongamano la kwanza la Afya ya Mtoto Tanzania na mkutano wa 24 wa Madaktari Bingwa wa Watoto Tanzania unaoendelea jijini Dodoma kwa lengo la kuangalia ustawi wa mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kukua kwake.

Dkt. Mollel amesema kuwa Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza fedha nyingi katika uangalizi wa watoto njiti lengo likiwa ni kuwapatia huduma bora na uangalizi maalum mpaka watakapofikia uzito unaostahili.

“Uwekezaji huu ni pamoja na kuwa na madaktari Bingwa wa watoto (Madaktari wa Mama Samia), kuboresha miundombinu katika Hospitali zote zenye wodi ya uangalizi maalum kwa watoto njiti ( NICU)”. Ameeleza Dkt. Mollel.

Dkt. Mollel amesema serikali imeamua kuwekeza katika eneo hilo kwani mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka kutimiza miaka 18 anahitaji uangalizi wa karibu ili kupata ustawi mzuri na kuwa na taifa la kesho imara.

Aidha, ametoa wito kwa Madaktari Bingwa wa Watoto nchini kuendelea kufanya kazi nzuri ya kuwahudumia watoto wanaozaliwa kabla ya siku na wale wanaozaliwa kawaida kwani wote wanahitaji uangalizi wa karibu katika ukuaji.

“Kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayofanya ya kuhakikisha mnapunguza vifo vya watoto wachanga nchini, na kwa mantiki hiyo niwahakikishie kuwa tutakuwa bega kwa bega na nyie ili kuhakikisha mnatekeleza majukumu yenu kwa ufasaha”. Amesema Dkt. Mollel.

Kwa upande wake Mshauri Mkuu Mwandamizi wa Sera na mipango kutoka USAID Tanzania, Jema Bisimba amesema kuwa hivi karibu watazindua programu ya USAID Tuwajali watoto yenye lengo la kusaidia watoto wanaoishi na virusu vya UKIMWI kuanzia miaka sifuri hadi miaka 17 kwa kuwawezesha Huduma zote zinazohusu mambo ya watoto.

Bisimba amesema kwa kupitia programu hiyo watasaidia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Afya kufikia lengo la kumaliza maambukizi ya virusi vya UKIMWI kwa watoto fufikia 2030

About the author

Alex Sonna