Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA KUTATHMINI UTENDAJI KAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Balozi Hassan Simba Yahya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
  

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika picha ya pamoja na Kamati hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023

About the author

mzalendoeditor