Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

DARAJA LA J.P MAGUFULI LIMEFIKIA 78%, MKANDARASI ANALIPWA KWA WAKATI: WAZIRI BASHUNGWA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa serikali inalipa kwa wakati madai yote yanayowasilishwa na Mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa kilomita 3.0 na Barabara unganishi zenye jumla ya kilometa 1.66 lililopo jijini Mwanza ambapo ujenzi umefikia asilimia 78 ya Utekelezaji.

Ameyasema hayo Oktoba 11, 2023 akiwa Mwanza katika ziara ya kukagua Daraja hilo linalounganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita katika Ziwa Victoria kwa kugharimiwa na Serikali kwa jumla ya shilingi Bilioni 716.3

Bashungwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Ujenzi wa Daraja hilo ameupa kipaumbele kikubwa kwa kuhakikisha Mkandarasi hatoki nje ya mradi kwa kutoa fedha kuwezesha madai yote ya mkandarasi kulipwa ndani ya muda ili kuhakikisha anafanya kazi bila kusimama.

“Mheshimiwa Rais anaendelea kuonesha kwa vitendo kaulimbiu yake ya awamu ya sita ya kazi iendelee ambayo inamaanisha kijiti ambacho alikipokea kutoka kwa kaka yake Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameendeleza pale alipoishia ikiwemo mradi huu wa historia kwa nchi yetu” Amesema Bashungwa.

Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais anahakikisha hakuna madai yanayowasilishwa na mkandarasi huyo ambayo hayalipwi na amemuomba Mkuu wa Mkua wa Mwanza, Amos Makalla, kupita mara kwa mara katika mradi huo ili kuhakikisha kazi inaendelea kwa sababu mkandarasi hana sababu yeyote ya kutoendelea na kazi kwani malipo yote yanafanyika kwa wakati.

Amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuifungua Mikoa ya kanda ya ziwa ambapo kwa muunganiko wa Bandari pamoja na mradi wa Reli ya kisasa ya SGR, mizigo kutoka nchi mbali mbali duniani itatumia miundombinu hiyo kusafirisha mizigo yao na hivyo kunufaisha ukanda huu wa ziwa kwa kupitia kituo kikubwa cha SGR cha Misungwi.

“Tunaposema Kazi Iendelee ni kama hivi miradi yote inayotumia mabilioni ya fedha inatekelezwa hivyo nawaomba watanzania tuendelee kuwa wamoja kwani mradi huu utafungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa kanda ya ziwa na mikoa ya jirani” ameongeza Bashungwa.

Awali akitoa taarifa ya daraja hilo, Mkurugenzi wa Miradi kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Eng Boniface Mkumbo amesema kuwa hadi sasa mkandarasi ameshalipwa jumla ya shilingi bilioni 396.3 ambazo zinajumuisha malipo ya awali pamoja na hati zote za madai 17 alizowasilisha hivyo hadai malipo yoyote.

Amesema kuwa lengo la ujenzi wa daraja hilo ni kuunganisha barabara kuu ya Usagara – Kisesa – Geita yenye urefu wa kilomita 90 katika ushoroba wa ziwa Victoria ambayo inaanzia Sirari mpakani mwa Tanzania na Kenya hadi Mutukula mpakani mwa Tanzania na Uganda (km 774)

Mkumbo amesema kuwa kwa sasa barabara hii inaunganishwa kwa kutumia vivuko vikubwa vitatu na kutokana na idadi kubwa ya magari yanayopita kwa siku huweza kutumia masaa mawili hadi matatu kuvusha magari kutoka upande mmoja hadi mwingine.

About the author

Alex Sonna