Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

sahabet

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHUSHA NEEMA ELIMU KWA MTOTO WA KIKE

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

Na Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI imetaja mafanikio sita ambayo Tanzania inajivunia katika sekta ya elimu kwa mtoto wa kike ikiwa ni pamoja na kutekelezwa kwa Waraka wa Elimu namba tatu Mwaka 2021 wa kuwarejesha shuleni wasichana waliokatiza masomo kwa sababu mbalimbali ikiwamo ujauzito ambao hadi sasa 7,995 wamerejea.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,ameyasema hayo leo Oktoba 11,2023  jijini Dodoma kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike iliyofanyika Shule ya Wasichana Msalato.

Alisema utekelezaji wa waraka huo ulitokana na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhimiza mtoto yeyote asiachwe nyuma katika suala la elimu.

““Nina salamu zangu kwa UNICEF naialika ishirikiane na wizara yetu kutoa rasilimali fedha katika kufanya utafiti kwa kufuatilia wale wote ambao wamerudi shule mmoja mmoja kumhoji kuangalia mazingira, mafanikio, changamoto na mapendekezo ya namna bora zaidi ya kutekeleza maelekezo haya ya Rais Samia ya kuhakikisha hakuna mtoto atakayeachwa nyuma kwenye elimu,”amesema.

Aidha, amesema kwa Mwaka 2022/23 wanafunzi 636 waliofaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi ikiwamo wanafunzi wa kike 261 ambao ni sawa na asilimia 41 ya wanafunzi wamenifaika na Samia Scholarship.

“Kumekuwapo na mazingira wezeshi kupitia miongozo, miundombinu na vifaa mbalimbali yaliwezesha watoto wenye mahitaji maalum kupata elimu, kila mwaka serikali inatenga fedha ya kununua vifaa,”amesema.

Ametoa wito kwa watoto wenye mahitaji maalum ambao wanahitaji msaada maalum kwa ajili ya kusoma watoe taarifa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Waziri Mkenda pia amesema idadi ya wanafunzi waliodahiliwa katika Taasisi za Elimu ya Juu imeongezeka kwa asilimia 31 kutoka wanafunzi 423,025 ambapo kati yao wa kike ni 177,905 kwa mwaka 2019/20 hadi kufikia wanafunzi 555,166 ambapo kati yao wa kike ni 249,009 kwa mwaka 2022/23.

Kuhusu walionufaika na mikopo ya elimu ya juu, amesema idadi yao imeongezeka kutoka wanafunzi 131,659 kwa mwaka 2019/20 hadi kufikia wanafunzi 202,016 kwa mwaka 2022/23 na ongezeko hili ni sawa na ongezeko la asilimia 53, miongoni mwa wanufaika ni wanafunzi wa kike ni 50,145 kwa mwaka 2019/20 na wanafunzi 85,793 kwa mwaka 2022/23 ongezeko hili ni sawa na asilimia 71.

“Wizara imejenga shule mpya 26 za wasichana ambapo kila mkoa kwa Tanzania bara ni shule moja na shule nyingine moja kwa kila kata kwa watoto wa kike na wakiume ili kupunguza umbali kutoka nyumbani kwenda shuleni jambo ambalo limepunguza changamoto ambazo wangekutana nazo wakati wa kwenda shule,”amesema.

Naye, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko, amesema Bunge  na kamati haitakuwa kikwazo katika mipango  ya serikali ya kumuendeleza na kumlinda mtoto wa kike nchini.

“Tutahakikisha watoto wa kike wanatimiza ndoto zao na si jambo la kufikiria wewe ni shahidi wabunge walichangishana na kujenga shule ya wasichana ya Bunge kwa lengo la kuionesha serikali na jamii kwamba wabunge wanaunga jitihada za kumlea na kumlinda mtoto wa kike Tanzania,”amesema.

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini, Dk.Daniel Baheta, amesema shirika hilo litaendelea kujitolea kuunga mkono jitihada za serikali katika kuwaendeleza wasichana na kuwawezesha.

“Tumeshuhudia serikali ikiondoa vikwazo vinavyokwamisha upatikanaji wa elimu bora kwa wasichana na uamuzi wa kuruhusu wasichana wajawazito, watu wazima na wasichana, mama vijana kurudi shule tunapongeza sana,”amesema.

Mmoja wa wanufaika wa Mradi wa SEQUIP, Neema Chaopa, amemshukuru Rais Samia kwa kuwafuta machozi watoto wa kike kupitia mradi huo ambao wengi wao walikuwa wamekata tamaa baada ya kukatisha masomo yao kwa sababu mbalimbali.

“Kupitia mradi wa SEQUIP tumefutwa machozi tumerejesha ndoto zetu upya wengine tulitamani kuwa waandishi wa habari. Watoto wa kike tumepewa fursa nyingine yakurudisha ndoto zetu.”

“Tunasoma na wengine kutoka mikoa mbalimbali ambao wanasoma kupitia Taasisi ya Watu Wazima kuna mabinti walikuwa wanauza mboga huku wanasoma walipata ujauzito, wengine walishakuwa wafanyakazi wa ndani katika umri mdogo lakini kwa tamko la mama sisi tukarudi shuleni, leo tena tumesimama, tumependeza,”amesema

Awali, Mkurugenzi wa Elimu kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Susan Nussu, amesema Ofisi hiyo imesimama imara kusimamia viongozi wote kuanzia ngazi za chini kuhakikisha watoto wa kike wanakuwa kwenye mazingira salama.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akisisitiza jambo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

Mkurugenzi wa Elimu kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Susan Nussu,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini, Dk.Daniel Baheta,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma.

Wadau mbalimbali wakizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,(hayupo pichani)  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akiangalia igizo kutoka kwa wanafunzi  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda,akiagana na wanafunzi mara baada ya kuhitimisha kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike yaliyofanyika  leo Oktoba 11,2023 katika Shule ya Wasichana Msalato  jijini Dodoma. 

About the author

Alex Sonna