Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

marsbahis

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

holiganbet

Featured Kitaifa

BENKI YA DUNIA YAIPONGEZA NELSON MANDELA USHIRIKISHWAJI JINSIA.

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bw. Nathan Belete akiongea na menajimenti ya Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) wakati wa ziara yake ya kikazi Jijini Arusha.

Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Bw. Omari Issa akifafanua jambo wakati wa kikao na Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bw. Nathan Belete alipoitembelea Taasisi hiyo.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula akitoa historia fupi ya Taasisi hiyo kwa Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bw. Nathan Belete wakati wa ziara ya kikazi katika Taasisi hiyo.

Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bw. Nathan Belete akipata maelezo kutoka kwa wataalam wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) alipotembelea maabara na kituo cha Utafiti na Ubunifu wakati wa ziara yake ya kikazi  Jijini Arusha.

Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Bw. Omari Issa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bw. Nathan Belete (Kushoto) Pamoja na menejimenti ya Taasisi akiwemo Makamu Mkuu wa Taasisi Prof. Maulilio Kipanyula (Kulia), Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Ubunifu na Utafiti Prof. Anthony Mshandete (wa pili kulia) na Mtaalamu wa Elimu/Msimamizi wa Miradi Benki ya Dunia Bw. Mathus Nkahiga Kaboko.

Na Mwandishi Wetu-Arusha

Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bw. Nathan Belete amepongeza juhudi na dhamira za uongozi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) katika kukuza ushirikishwaji wa Jinsia katika programu za elimu inayotolewa na  vituo vya umahiri.

Bw. Belete ameyasema hayo jana Oktoba 9, 2023 katika ziara ya kikazi  kuona maendeleo ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki hiyo, ikiwemo  Kituo cha Umahiri cha Kilimo, Sayansi ya Chakula na Usalama wa Lishe (CREATES-FNS). Kituo cha Umahiri cha Wise-Future na Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET).

 

“Nimefurahishwa sana kusikia dhamira ya uongozi katika taasisi hii ya kutanguliza ushirikishwaji wa kijinsia katika kukubalika kwao katika programu zao,” alisisitiza Bw.Belete.

Bw. Aliongeza kuwa Elimu ya jamii ni kipaumbele cha kwanza kwa Benki ya Dunia nchini Tanzania ili kukidhi mahitaji ya viwanda na soko la ajira.

Akizungumzia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), Bw. Belete alisema elimu ya juu ni kipaumbele muhimu kwa Benki ya Dunia nchini Tanzania.

“Ni maoni yetu kwamba serikali inawekeza kwa usahihi katika aina hizi za taasisi za mafunzo na tungependa kuendelea kufanya lolote tuwezalo kushirikiana na Taasisi hii katika mpango wetu kwenda mbele,” alisisitiza Bw Belete.

Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Taasisi Prof. Maulilio Kipanyula ameeleza kuwa, katika mradi wa Heet Taasisi imejikita katika kuboresha maabara ili kupata ithibati ya kuweza kufanya sampuli mbalimbali kwa lengo la kujiendesha kibiashara na kukuza uchumi wa nchi.

Naye mratibu wa mradi wa HEET katika Taasisi hiyo, Profesa Suzana Augustino, amesema  tayari taasisi imetumia dola 992, 015 kati ya jumla ya dola milioni 10 kutoka Benki ya Dunia katika kutekeleza mradi huo unaolenga kuimarisha mazingira ya kujifunzia, kuhakikisha ulinganifu zaidi. mipango ya shahada ya kipaumbele kwa mahitaji ya soko la ajira, na kuboresha usimamizi wa mfumo wa elimu ya juu.

 

“Kwa sasa tunapitia mtaala wetu ili kuhakikisha kuwa unalingana na mahitaji ya soko na pia tumeunda kamati ya ushauri ya viwanda,” aliongeza Profesa Suzana.

Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Utafiti na Ubunifu, Profesa Anthony Mshandete, alimweleza Mkurugenzi hiyo Kuwa, taasisi hiyo ina mpango wa kuanzisha ndaki ya mpya ya Sayansi ya Dunia na Uhandisi (EaSE) ambayo pia itakuwa na kozi katika Sayansi ya Jiografia na Madini.

Taasisi ya afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imeidhinishwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na inaendelezwa kikamilifu kama taasisi ya tafiti inayotoa masomo ya ngazi ya uzamili na uzamivu na utafiti katika Sayansi, Uhandisi, na Teknolojia (SET).

About the author

Alex Sonna