Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

IDADI YA WATALII NCHINI YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 25.7

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi wa takwimu za uchumi Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw.Daniel Masolwa,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Oktoba 9,2023 jijini Dodoma kuhusu ongezeko la watalii waliongia nchini katika pindi cha kuanzia Januari hadi Agosti, 2023.

Na.Alex Sonna-DODOMA

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema idadi ya Watalii kutoka nje ya nchi kwa kipindi cha Mwezi Januari hadi Agosti Mwaka 2023 imeongezeka na kufikia 1,131,286 ikilinganishwa na watalii 900,182 walioingia nchini kipindi kama hicho hicho mwaka 2022 sawa na ongezeko la asilimia 25.7

Hayo yamesemwa leo Oktoba 9,2023 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Takwimu za uchumi Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw.Daniel Masolwa,wakati  akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ongezeko la watalii waliongia nchini katika pindi hicho.

Bw Masolwa ametaja sababu za ongezeko hilo ni uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour nchini Marekani iliyongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na nyingine ni Tanzania kuwa na vivutio vingi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani.

Amebainisha kuwaa kuna ongezeko la watalii 231,104 sawa na asilimia 25.7 ambapo kati ya watalii wote waliongia nchini katika kipindi hicho watalii 236,047 waliingia kupitia Zanzibar ambao ni asilimia 31.1 ya watalii wote.

 “Ofisi ya Taifa ta Takwimu inajukumu la kusambaza takwimu za kijamii na kiuchumi kwa mujibu wa sheria ta Takwimu sura 351 miongoni mwa taarifa hizo ni takwimu za mara kwa mara za mwenendo wa watalii waliongia nchini”amesema Bw. Masolwa

Hata hivyo amesema kuwa  watalii waliongia nchini katika kipindi cha mwezi Agosti 2023, waliongezeka hadi 186,030 ikilinganishwa na watalii 158,049 waliongia nchini mwezi Agosti 2022 sawa na ongezeko la asilimia 17.7.

“Watalii 336,203 kati ya watalii wote waliongia nchini mwezi Agosti 2023 waliongia kupitia Zanzibar sawa na asilimia 29.7 ya idadi ya watalii wote”amesema Bw. Masolwa

Pia ameongeza kuwa idadi ya watalii waliongia nchini kutoa nchi zilizo nje ya bara la Afrika kwa idadi kubwa katika kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ni Marekani ikiwa na jumla ya watalii 84,541.

“Mtakumbuka Filamu ya Royal Tour ilizinduliwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani hii inaonyesha kuwa juhudi zile za Rais Samia Suluhu Hassan zimelipa kutokana na ongezeko hili”amesema

Bw.amesema kuwa  mataifa mengine yaliyoleta watalii wengi nchini nyuma ya Marekani ni Ufaransa (72,009),Ujerumani (57,798),Uingereza (51,056) na Italia (51,056).

“Aidha, katika mwezi Agosti 2023 peke idadi ya watalii waliongia nchini walitoka Italia (14,986),Marekani (14,416),Ufaransa (11,997), Uingereza (9,852) na Ujerumani (9,161)”amesema

Aidha ameeleza kuwa katika kipindi cha Januari hadi Agosti Tanzania ilipokea watalii kutoka Bara la Afrika ambapo wengi wao walitoka katika nchi ya Kenya (128,753), Burundi (69,505), Zambia (38,394), Rwanda (37,269) na Uganda (4,052).

Hata hivyo, amesema  sekta ya utalii ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya fedha za kigeni nchini, hivyo taasisi na kamapni zinazotoa huduma kwa watalii zinatakiwa kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa lengo la kuwavutiwa wapya na waliokuja waje kwa mara nyingine.

About the author

Alex Sonna