Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

vdcasino

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

pusulabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

betsmove, betsmove giriş

nakitbahis, nakitbahis giriş

perabet, perabet giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

casibom, casibom giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

madridbet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

cratosroyalbet

betpark

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

jojobet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

imajbet

holiganbet

marsbahis

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

madridbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

galabet

bets10

betpark

casibom

marsbahis

betpark

runtobet

runtobet giriş

Featured Kitaifa

TCRA YATOA ELIMU KWA WADAU WA UTANGAZAJI KANDA YA ZIWA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Written by Alex Sonna

 

Meneja Kitengo cha Huduma ya Utangazaji kutoka TCRA, Mhandisi Andrew Kissaka akitoa mada kuhusu Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za kusimamia Huduma za Utangazaji za Kijamii

 

Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendesha Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
 

Mafunzo hayo yamefanyika leo Alhamisi Oktoba 5,2023 jijini Mwanza ambapo Wadau wa utangazaji (Redio na watoa huduma za utangazaji kwa njia ya waya).
 
Katika Programu hiyo ya utoaji elimu, wadau wa utangazaji wamepewa elimu kuhusu Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za kusimamia Huduma za Utangazaji za Kijamii, Mwongozo kwa watoa huduma za utangazaji kwa njia ya waya (Guideline for Cable Operators) na Mawasiliano na TCRA (Tanzanite Portal).
 

 

Akifungua mafunzo hayo, Meneja Kitengo cha Huduma ya Utangazaji kutoka TCRA, Mhandisi Andrew Kissaka amesema Watangazaji wana nafasi kubwa sana katika jamii hivyo ni vyema wakafanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii ili kuilinda jamii.
 
“Jinsi jamii tunavyoiona inatokana na mambo yanatotolewa kwenye vyombo vya habari, kama tunafanya vibaya basi pia tunaiharibu jamii, kama tunatengeneza vipindi vizuri basi tunajenga jamii bora. Mna nafasi kuwa sana ya kuitengeneza jamii hivyo ni lazima mtengeneze vipindi vya kujenga jamii ndiyo maana tunatengeneza kanuni za utangazaji  ili jamii iendelee kuwa salama”,amesema Mhandisi Kissaka.

 

“Teknolojia zinakuja lakini umuhimu wa Redio za kijamii unabaki pale pale hivyo ni muhimu mtambue kuwa nafasi yenu katika jamii ni kubwa sana”,ameongeza Kissaka.
 
Kwa upande wake, Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo amesema wametoa elimu kwa wadau wa utangazaji kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
 
Mhandisi Mihayo ametumia fursa hiyo kuwahamasisha watoa huduma za utangazaji kutumia zaidi mfumo wa kidigitali ‘TCRA Tanzanite Portal’ kuwa wasiliana kwa urahisi zaidi na mamlaka hiyo.
 
“Tunataka mtumie Digitali zaidi kuwasiliana na TCRA badala ya kutumia muda mwingi kuja TCRA. Tumieni mfumo wa Tanzanite Portal ili kuokoa gharama na muda wa kusafiri kufuata huduma, tunataka mtumie digitali kuwasiliana na TCRA. Ukitaka kuwasiliana na TCRA unaingia kwenye ukurasa wetu unaweka kile ambacho unataka sisi TCRA tukione”,amesema Mhandisi Mihayo.
 
Katika hatua nyingine amewataka watangazaji kuzingatia maudhui wanayotoa kwenye vipindi kwa kuhakikisha wanatumia lugha nzuri ili kujenga jamii bora.
 
“Punguzeni sana kuchanganya lugha, mfano Kiingereza na Kiswahili lakini pia punguzeni kushabikia mambo ambayo hayako vizuri kwenye vipindi. Epukeni kushabikia masuala ya kisiasa. Usianze kutangaza kitu ambacho kina mkwamo kabla ya kuwasiliana na mamlaka husika mfano masuala ya matangazo ya Waganga wa kienyeji, tiba lishe, nguvu za kiume n.k”, amesema Mhandisi Mihayo.
 
“Mwaka ujao ni mwaka wa uchaguzi, msishabikie masuala ya kisiasa, msinunulike, ukialika kiongozi wa chama cha siasa flani hakikisha unaalika na kutoka chama kingine, ukiona umealika mmoja mwingine hajaja acha hadi wawepo wote”,ameongeza Mihayo.

 

Meneja Kitengo cha Huduma ya Utangazaji kutoka TCRA, Mhandisi Andrew Kissaka akizungumza wakati akifungua Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Meneja Kitengo cha Huduma ya Utangazaji kutoka TCRA, Mhandisi Andrew Kissaka akizungumza wakati akifungua Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii 

 

Meneja Kitengo cha Huduma ya Utangazaji kutoka TCRA, Mhandisi Andrew Kissaka akizungumza wakati akifungua Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii

 

Meneja Kitengo cha Huduma ya Utangazaji kutoka TCRA, Mhandisi Andrew Kissaka akitoa mada kuhusu Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za kusimamia Huduma za Utangazaji za Kijamii

 

Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii 
Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii 
Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa Programu ya utoaji elimu kwa wadau wa utangazaji Kanda ya Ziwa kuhusu Kanuni Mpya za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za Kusimamia Huduma za Utangazaji za Jamii 
Mhandisi Mkuu kitengo cha Huduma za Utangazaji TCRA Mhandisi Jan Kaaya akiwasilisha Mada kuhusu Mwongozo kwa Watoa Huduma za Utangazaji kwa Njia ya Waya (Guideline For Cable Operators)
Mhandisi Mkuu kitengo cha Huduma za Utangazaji TCRA Mhandisi Jan Kaaya akiwasilisha Mada kuhusu Mwongozo kwa Watoa Huduma za Utangazaji kwa Njia ya Waya (Guideline For Cable Operators)

 

Afisa TEHAMA Mkuu TCRA, Irene Kahwili akiwasilisha mada kuhusu Mawasiliano na TCRA (Tanzanite Portal)
Afisa TEHAMA Mkuu TCRA, Irene Kahwili akiwasilisha mada kuhusu Mawasiliano na TCRA (Tanzanite Portal)
Afisa TEHAMA Mkuu TCRA, Irene Kahwili akiwasilisha mada kuhusu Mawasiliano na TCRA (Tanzanite Portal)

 

 

Afisa TEHAMA Mkuu TCRA, Irene Kahwili  akiwasilisha mada kuhusu Mawasiliano na TCRA (Tanzanite Portal)

 

 

Mwenyekiti wa Umoja wa watoa huduma za utangazaji Tanzania (NIBA), Amos Ngosha akizungumza wakati wa mafunzo hayo

 

Katibu wa Umoja wa watoa huduma za utangazaji Tanzania (NIBA), Heavenlight Kavishe akizungumza wakati wa mafunzo hayo

 

 

 

Katibu wa Chama cha Umoja wa Cable Tanzania (TACOL), Hirnoy Barmeda akichangia hoja kwenye mafunzo

 

 

 

 

About the author

Alex Sonna