Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge Duniani kwa Kundi la Afrika (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi zawadi yenye nembo ya mfano wa jengo la Bunge la Tanzania Spika wa Bunge la Uruguay ambaye pia ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Beatriz Argimon, wakati alipomtembelea ofisini kwake Jijini Montevideo, Uruguay leo tarehe 27 Septemba, 2023.
PICHA NA OFISI YA BUNGE