Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

vipslot

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

Written by Alex Sonna

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam 

*Asema hadi sasa imeshawekeza dola za Marekani bilioni 10

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi.

Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa  kuna zaidi ya miradi 1,134 ambayo imesajiliwa kutoka makampuni ya China na hivyo kuchangia ajira kwa Watanzania.

Ameyasema hayo leo jioni (Jumatatu, Septemba 25, 2023) wakati akifunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.

“Miaka 10 iliyopita, China ilikuwa nchi ya sita miongoni wa wawekezaji wakubwa hapa nchini ikitanguliwa na Uingereza, Marekani, Afrika Kusini na Kenya. Lakini kutokana uwekezaji wa sasa, imekuwa nchi ya kwanza kwa uwekezaji hapa nchini,” amesema.

Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira bora na rafiki ya uwekezaji ikiwemo kufanya maboresho ya sera ya uwekezaji. “Tumewahakikishia kuwa tumefanya maboresho kwa kuondoa urasimu, mlolongo wa vikwazo kwa kuweka one stop centre kwenye kituo chetu cha uwekezaji.”

Ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekeze Dodoma ambako ni makao makuu ya nchi hasa kwenye maeneo ya ujenzi wa makazi na ofisi.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki wa kongamano hilo, Waziri wa Nchi (OR- Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo alisema kongamano hilo limehudhuriwa na wafanyabiashara 300 wakiwemo 200 kutoka Tanzania na 100 kutoka China.

Amesema kuandaliwa kwa kongamano hilo ni maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa akisisitiza suala la kuvutia wawekezaji nchini.

Naye Balozi wa China hapa nchini, Bi. Chen Mingjian alisema tangu kumalizika kwa ugonjwa wa UVIKO-19, uwakilishi wa makundi nane ya wafanyabiashara kutoka miji na majimbo ya China yamekwishatembelea Tanzania ili kuangalia fursa mbalimbali za uwekezaji.

“Kutokana na uwekezaji wa wafanyabiashara kutoka China, bidhaa za saruji, chuma, ceramics, vifaa vya ujenzi na bidhaa za urembo na sabuni zimezalishwa nchini na kutoa ajira zaidi ya 150,000,” alisema.

Naye Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe alisema wafanysbiashara wa China wanakaribishwa kuwekeza katika sekta mbalimbali hasa kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo na bidhaa nyingine zinazozalishwa nchini.

“Tunaamini tukiwa na viwanda hivyo, tutaongeza ajira kwa vijana wetu lakini pia tutaweza kuuza nje ya nchi bidhaa zilizoboreshwa badala ya kuuza mali ghafi.”

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi (OR- Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, katika Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia burudani, katika Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi (OR- Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, katika Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia utiaji saini wa jukwaa la pamoja la ununuzi kati ya Kampuni ya Merit Link Group na Juye Concrete Co. Limited, katika Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam .

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabizi zawadi ya kinyago, Balozi wa China nchini Bi. Chen Mingjian kwenye Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.  jijini Dar es Salaam 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia baadhi ya bidhaa kwenye mabanda, wakati alipofunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara baina ya Tanzania na China kwa udhamini wa Jimbo la Zhejiang (Jinhua) kwenye  hoteli ya Rotan jijini Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna