Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WANANCHI WATAKIWA KUWAFICHUA WANAOTUMIA SILAHA KINYUME CHA SHERIA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Eva Stesheni,akizungumza wakati wa kikao cha Mtandao wa Polisi wanawake Tanzania na viongozi wa makundi ya wanawake Mkoa wa Dodoma.

Na Alex Sonna,Dodoma

Mkuu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania,Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Eva Stesheni amewataka wananchi kuchukua hatua dhidi ya silaha zinazozagaa mitaani na kutumika kinyume na taratibu ili kuweiweka jamii salama.

Ameeleza hayo wakati akitoa mada ya madhara ya uzagaaji wa silaha ndogo na nyepesi kwa jamii wakati wa kikao cha Mtandao wa Polisi wanawake Tanzania na viongozi wa makundi ya wanawake Mkoa wa Dodoma.

Alisema,wameamua kuwatumia wanawake Katika mapambano hayo Kwa kuwa ni Mashujaa wa ulinzi na amani kwenye jamii na kwamba Kila mwanamke akisimama kwenye nafasi yake hakuna silaha yoyote itazagaa mitaani bila utaratibu.

alisema kuwa madhara ya uzagaaji wa silaha ni makubwa kwenye jamii na hivyo ni wajibu wa kila mwanajamii kuwafichua wanaomiliki silaha kinyume cha utaratibu kuzisalimisha.

“Silaha zina madhara yake zikizagaa mitaani,
wanaotumia silaha hizo tunawaona kila leo na wengine tunawajua tunapaswa kuwafichua acheni kuwatunzia siri,” alisema

Naye Mkuu wa kitengo cha udhibiti na usajili wa silaha Kamishna Msaidizi wa Polisi, Bertha Neema Mlay amesema kuwa katika my jitihada hizo watuhumiwa 220 walikamatwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria .

Aidha watuhumiwa 17 walikamatwa kwa kumiliki risasi kinyume cha sheria na kusisitiza kuwa juhudi bado zinaendelea.

“Mwaka jana 2022 baada ya mwezi Septemba jumla ya watuhumiwa 220 walikamatwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria na watuhumiwa 17 walikamatwa kwa kumiliki risasi kinyume cha sheria,” alisema

Alisema kila mwaka Septemba huwa ni mwezi wa msamaha wa kusalimisha silaha zinazomilikiwa jkinyume cha sheria na baada ya Septemba huanza kuwakamata wanaomiliki silaha hizo kinyume cha sheria.

Alisema kuwa zoezi hilo lilitakiwa kukamilika Septemba 30, lakini limeongezewa muda hadi Oktoba 31,mwaka huu .

Alisema kuwa silaha ina faida ikitumika vyema kwa kazi iliyokusudiwa na wakati muafaka ila zikitumika kiholela na kinyume na ilivyokusudiwa inaleta madhara.

Pia sheria ya udhibiti na usajili wa silaha yam waka 2015 na kanuni zake za mwaka 2016 zinaruhusu mtu binafsi, kampuni kumilikishwa silaha, matumizi yaliyoainishwa kwenye sheria hiyo ni kujilinda binafsi, kulinda mazao na kulinda Wanyama, mashindano ya kulenga shabaha.

Amesema silaha inayomilikiwa kinyume na sheria ni silaha haramu.

Alisema kuwa madhara ya uzagaaji wa silaha ni kuongeza uhalifu migogoro, matishio, vita vya wenyewe kwa wenyewe na kurudisha nyuma maendeleo.

Pia huleta ukatili wa kijinsia, kubaka, kulawiti, kilema cha kudumu, kuzorota kiuchumi.

“Kila ifikapo Novemba mosi wataanza kuwakamatawote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria,”amesisitiza .

Akizungumza kwenye mkutano huo, mmoja wa viongozi wanawake kutoka soko la Sabasaba.

Anna James,alitaka mabalozi kuwa na utaratibu wa kuwatambua watu wanaoingia kwenye maeneo yao ili kupunguza uhalifu.

“ Kuna maeneo ukienda lazima mwenyeji atoe taarifa kwa balozi wa nyumba 10, jambo hilo husaidia kujua pale uharifu unapotokea,” alisema

“Kama maadili yameharibika hata wanawake wengi wanauawa kwa kutumia silaha.

Pia alitaka kuangaliwa kwa kisu kama silaha hatari kwa Maisha ya binadamu kwani kimekuwa kikitumika kufanya mauaji katika matukio mengi.

About the author

Alex Sonna