Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

BENKI YA AfDB YAAHIDI DOLA BIL. 3.05 KUFADHILI MIRADI

Written by Alex Sonna

 

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Mhe. Dkt. Akinwumi Adesina, akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, baada ya mazungumzo yao walipokutana pembezoni mwa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Jamhuri ya Korea Kusini.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Mhe. Dkt. Akinwumi Adesina, akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akizungumza walipokutana pembezoni mwa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Jamhuri ya Korea Kusini. Kushoto kwa Waziri ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar, Bw. Aboud Hassan Mwinyi, na Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Mhe. Dkt. Akinwumi Adesina, akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, mara baada ya kukamilika kwa mazungumzo yao walipokutana pembezoni mwa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Jamhuri ya Korea Kusini.

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Mhe. Dkt. Akinwumi Adesina, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, na ujumbe kutoka Tanzania na AfDB, mara baada ya kukamilika kwa mazungumzo yao walipokutana pembezoni mwa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Jamhuri ya Korea Kusini.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Busan, Korea ya Kusini)

Na. Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini.

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inatarajia kusaidia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) kwa kipande cha Tabora – Kigoma (lot 6) na Uvinza – Malagarasi (lot 7) kwa takribani dola za Marekani bilioni 3.05 na kufadhili maandalizi ya mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Mangapwani Zanzibar kwa takribani dola za Marekani milioni 60.

Hayo yameelezwa na Rais AfDB, Mhe. Dkt. Akinwumi Adesina, alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya, pembezoni mwa vikao vya mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Jamhuri ya Korea Kusini.

“Benki ya Mandeleo ya Afrika inafanyia kazi upatikanaji wa kiasi cha dola za Marekani bilioni 3.05 kwa wakati ili kuwezesha kutekelezwa kwa mradi wa SGR kwa manufaa ya Tanzania pamoja na nchi za jirani”, alieleza Dkt. Adesina.

Akizungumzia kuhusu ushirikishwaji wa Sekta binafsi katika utekelezaji wa miradi, Dkt. Adesina alisema kuwa kuna umuhimu wa kuhusisha sekta hiyo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati nchini Tanzania ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kukuza uchumi.

Dkt. Adesina alisisitiza kuwa ni vyema kuendeleza sekta binafsi kwa kuwa ni muhimu katika kukuza uchumi kwa kasi na pia akaishauri Serikali kutumia fursa ya dirisha la AfDB (non- Sovereign Window) kwa ajili yakuimarisha na kuwezesha sekta binafsi nchini.

Aidha, alieleza kuwa Benki ya AfDB ipo tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kupiga hatua kimaendeleo hasa katika miradi ya Kilimo, huku akiutaja mradi wa Kilimo wa Building Better Tomorrow (BBT) kuwa utatoa ajira kwa vijana wengi na kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula nchini.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango – Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiongoza ujumbe wa Tanzania kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), aliishukuru Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuongezea Tanzania mgao wa fedha kupitia dirisha la mikopo nafuu (ADB) kwa mwaka 2023 kutoka UA 160 milioni sawa na dola za Marekani milioni 216 hadi UA 560 milioni sawa na dola za Marekani milioni 756.

 

Dkt. Mkuya alieleza kuwa kutokana na umuhimu wa miradi ambayo AfDB imeonesha nia ya kuifadhili hususani mradi wa ujenzi wa bandari ya Mangapwani Zanzibar, ameiomba Benki hiyo ione namna ya kuweza kufanikisha upatikanaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza mradi huo kabla ya mwaka 2025.

 

‘’Tayari tumefanya upembuzi yakinifu katika mradi wa bandariya Mwangapwani hivyo upatikanaji wa fedha utawezesha mradi huo kuanza mara moja”, alieleza Dkt. Mkuya.

About the author

Alex Sonna