Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AENDELEA NA ZIARA WILAYA YA NANYAMBA MKOANI MTWARA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nanyamba mjini ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
 Wananchi wa Nanyamba mjini wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Tandahimba katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Majaliwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasili katika uwanja wa Majaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Tandahimba kwenye Mkutano wa hadhara ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
  Viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Tandahimba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
        Shamrashamra za Wananchi wa Tandahimba wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

About the author

mzalendoeditor