Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWASILI KATIKA VIWANJA VYA NDEGE MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mtwara mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 14 Septemba, 2023.

About the author

mzalendoeditor