Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

timebet

betpas

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

onlyfans leaks

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

onlyfans leak

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

casibom

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat giriş

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

goldenbahis

ngsbahis

betpuan

restbet

yakabet

betplay

Featured Kitaifa

MJI MAARUFU KWA VITO THAILAND WAIOMBA TANZANIA KUUFUNGULIA MILANGO

Written by Alex Sonna

Chanthaburi-Thailand

Serikali katika Mji Mkongwe na Maarufu kwenye shughuli na Biashara ya Madini ya Vito wa Chanthaburi nchini Thailand umeiomba Tanzania kuufungulia milango na kuimarisha ushirikiano kwenye uendelezaji wa Sekta Ndogo ya Madini ya Vito.

Wito huo unafuatia ziara ya Ujumbe wa Tanzania katika mji huo Septemba 11, 2023 ambao ulipata fursa ya kutembelea viwanda vidogo vya kuongeza thamani madini kuanzia kuchoma ili kuongeza ubora na kusanifu madini ili kutengeneza bidhaa za urembo za usonara.

Ujumbe huo ulitembelea soko kubwa la madini ya vito vya thamani ambalo pia limeweka makumbusho ya madini ya vito vya thamani vya aina mbalimbali vinavyozalishwa kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania. Katika sehemu ya makumbusho madini ya vito ya aina mbalimbali yameelezwa umuhimu wake na hivyo kuifanya kuwa pia sehemu ya mafunzo na matangazo ya kuhamasisha biashara.

Biashara ya madini na shughuli za uongezaji thamani madini katika Mji wa Chanthaburi kwa kiasi kikubwa unategemea malighafi za madini kutoka Tanzania, Nigeria, Madagasca na Msumbiji. Aidha, madini ya Sapphire na Rubi ya Mundarara Wilayani Longido Mkoa wa Arusha ni miongoni mwa madini maarufu katika mji huo.

Aidha, Septemba 12, 2023, akizungumza baada ya kikao na Mkurugenzi kutoka Ofisi ya Biashara katika mji wa Chanthaburi nchini humo Bw. Jirawuth Suwanna-arji, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema Mkurugenzi huyo ameiomba Tanzania kuifungulia milango ya ushirikiano wa kibiashara na mji huo kutokana na ujuzi, maarifa waliyonayo katika eneo la uongezaji thamani madini ili kurithisha maarifa hayo kwa Watanzania ikiwemo kufanya biashara na shughuli za uongezaji thamani madini kwa kushirikiana.

Ameongeza kuwa, Mkurugenzi huyo ameeleza wazi kuwa anafahamu kwamba nchi ya Tanzania inayo madini mengi ya vito vya thamani ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa vikitumiwa na wafanyabiashara katika mji huo na hivyo kueleza kwamba, ushirikiano huo utakuwa wa manufaa kwa pande zote mbili na kwamba, ameikaribisha Tanzania kupeleka wataalam wake kujifunza shughuli za uongezaji thamani madini ili kupata ujuzi unaohitajika katika soko la dunia.

‘’Ni ushirikiano ambao tumeufungua na tunauimarisha, sehemu hii ya biashara ya vito inaweza kuimarisha ushirikiano wetu na si tu katika madini bali pia katika shughuli nyingine,’’ amesisitiza Mbibo.

Aidha, katika mazungumzo yake na Wizara, Mkurugenzi huyo amewakaribisha wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kushiriki katika Maonesho ya Vito katika mji huo yayakayofanyika kwa awamu tarehe 12 -31 Oktoba, 2023.

“Kwa kuwa tarehe za maonesho hayo zinaingiliana kwa kiasi kikubwa na Jukwaa letu la Kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini litakalofanyika tarehe 25 na 26 Oktoba, 2023, tumewaomba na wao wachache waje kushiriki jukwaa letu na sisi wachache watakaoweza waende kwao,’’ amesema Mbibo.

Akizungumza baada ya kutembelea viwanda vidogo vya kuongeza thamani madini ya Sapphire, Kamishna Msaidizi Sehemu ya Uongezaji Thamani Madini Wizara ya Madini Bertha Luzabiko amesema hiyo ni teknolojia ambayo ina fursa kwa wafanyabiashara wa Tanzania kuongeza thamani madini yao kwa kuongeza ubora kwa njia ya kuchoma katika nyuzi joto kubwa na hivyo kuyafanya madini yao kuwa na bei kubwa sokoni. Ametoa wito kwa wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi na wafanyabiashara kupata fursa ya kujifunza zaidi teknolojia hiyo ili iweze kuja kutumika nchini na kuchochea shughuli za uchumi kupitia madini hayo ya vito yakiwemo sapphire, rubi na mengine.

Aidha, Bertha ametumia fursa hiyo kuwahamasisha wenye viwanda vidogo kujifunza teknolojia hiyo kuwezesha upatikanji wa vifaa hivyo kutokana na wingi wa rasilimali madini ya vito yanayopatikana nchini.

About the author

Alex Sonna