Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

DKT. MPANGO AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUTUMIA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO KUKEMEA MAFUNDISHO POTOFU

Written by Alex Sonna

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania Askofu Mkuu Angelo Accattino wakati alipowasili katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa kushiriki Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa. (Tarehe 10 Septemba 2023)  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango (Kulia) wakishiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. (Tarehe 10 Septemba 2023)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. (Tarehe 10 Septemba 2023)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa kwa kutimiza Miaka 50 ya Upadre mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. (Tarehe 10 Septemba 2023)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. (Tarehe 10 Septemba 2023).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa(watatu kutoka kushoto waliokaa), Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (wapili kutoka kulia), Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendegu (wa kwanza kutoka kulia) pamoja na Maaskofu mbalimbali mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. (Tarehe 10 Septemba 2023).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. (Tarehe 10 Septemba 2023).   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi wa dini hapa nchini kutumia fursa ya teknolojia ya habari na mawasiliano kukemea mafundisho potofu na kufanya uinjilishaji wa neno la Mungu la kweli.

Makamu wa Rais ametoa wito huo leo tarehe 10 Septemba 2023 alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo la Iringa na Miaka 50 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa iliofanyika katika Viwanja vya Kichangani Kanisa Kuu Jimbo Katoliki Iringa. Amesema ni muhimu kuendelea kuwahimiza waamini kufanya kazi kwa bidii huku wakimuomba Mungu abariki kazi za mikono yao na akili zao na kuwaepusha na baadhi ya viongozi wa dini ambao wamekuwa wakiwaelekeza waamini wao kuomba na kusubiri miujiza ili wapate mali bila kufanya kazi stahiki.

Aidha Makamu wa Rais amewasihi viongozi wa dini kukemea baadhi ya wahubiri ambao wamekuwa kwa uwazi na bila kificho wakishabikia matendo maovu kama ya ushoga na usagaji. Amesema ni vema Kanisa na madhehebu mengine kutambua jukumu kubwa la kuendelea kufundisha maadili mema katika jamii kwa nguvu na maarifa zaidi ili kuwa na Taifa salama sasa na baadae. Makamu wa Rais amesema kutokana na mmomonyoko wa maadili matendo maovu yameongezeka ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto na wanawake, ongezeko la familia za mzazi mmoja, ongezeko la watoto waliozaliwa nje ya ndoa, migogoro ya ndoa, ongezeko la talaka, migogoro ya mirathi, vitendo vya ushoga na ulawiti.

Makamu wa Rais ametoa wito kwa kanisa kuendelea kuwasaidia wahitaji katika jamii hususan watoto yatima, watu wenye ulemavu, masikini, wajane, wafungwa na wenye shida mbalimbali. Aidha ametoa rai kwa waamini wa dini zote kujenga tabia ya kusaidia watu wenye uhitaji katika jamii na kuepuka kujilimbikizia mali isivyo halali.

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Kanisa Katoliki katika kumwinua na kumstawisha mwanadamu kiroho na kimwili. Ameongeza kwamba Katika miaka 125 ya uinjilishaji, Kanisa Katoliki katika Jimbo la Iringa limekuwa likishughulikia ustawi wa jamii kama vile kuimarisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za jamii hususan afya na elimu. Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na madhehebu yote ya dini nchini katika kuwaletea watanzania maendeleo na kudumisha haki na amani katika Taifa.

Vilevile Makamu wa Rais ametoa rai kwa viongozi wa dini na waamini wa dini zote kuzingatia mafundisho ya imani hususani kuhusu wajibu wa kuitunza vema dunia tuliyokabidhiwa na Mwenyezi Mungu. Amesema watanzania wote wanapaswa kutambua kuwa jitihada za Serikali katika kukabiliana na athari za uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi hazitafanikiwa kama wananchi wote hawatabadili tabia na kuchukua hatua za makusudi kulinda na kuhifadhi mazingira.

Kwa upande wake Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa amewashukuru waamini, viongozi pamoja na wote naoshirikiana nao katika uongozi wake wa kanisa mkoani Iringa.

About the author

Alex Sonna