Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA NAIBU WAZIRI MKUU KWA KIKAO KAZI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko walipokutana ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma  kwa kikao kazi, Septemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika kikao kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 6, 2023. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor