slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

PROF.KUSILUKA ASHAURI JAMII KUONA UMUHIMU WA KUTUNZA MAARIFA ASILIA KWA VIZAZI VIJAVYO

Written by Alex Sonna

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)Prof.Lughano Kusiluka,akizungumza kwenye Warsha ya watafiti wataalam wa kuhifadhi maarifa asili kutoka nchi tisa yenye lengo la kubadilishana uzoefu wa kuhifadhi kumbukumbu kwa vizazi vijavyo jijini Dodoma.

Na Dotto Kwilasa, DODOMA

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)Prof.Lughano Kusiluka ameishauri Jamii kuona umuhimu wa kuhifadhi maarifa asili kwa kuweka kumbukumbu za mila na desturi za Kiafrika kwa faida ya vizazi vijavyo hali itayosaidia kukuza utalii wa kitamaduni kwa kuvutia wageni kutoka ndani na nje ya bara la Afrika.

Prof.Kusiluka ameeleza hayo  Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Warsha ya watafiti wataalam wa kuhifadhi maarifa asili kutoka nchi tisa yenye lengo la kubadilishana uzoefu wa kuhifadhi kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.

Miongoni mwa nchi hizo ni pamoja na Ujerumani, Ethiopia,Msumbiji,Kongo, Tanzania,Kenya

Amesema ikiwa jamii itaweka kumbukumbu za mila na desturi za Kiafrika kwa njia ya hadithi, nyimbo, na ngonjera,kumbukumbu hizo zitasaidia vizazi vijavyo kuelewa na kuheshimu urithi wa mwafrika na kujifunza kuelewa kalenda za Kiafrika na matukio ya kihistoria yaliyotokea katika bara letu.

“Vijana watanzania wanatakiwa kujua kuwa wanaishi katika bara tajiri lenye historia ndefu, na ni muhimu kuelimisha na kuenzi historia hii,ni muhimu vijana wetu wakajifunza kuhifadhi kumbukumbu,na ndiyo maana UDOM kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Cologne kilichopo Ujerumani tumewakutanisha watafiti hawa kutoka nchi tisa duniani kuona namna ya kubadilishana uzoefu na uhifadhi kumbukumbu,”amesema.

Akizungumza kuhusu warsha hiyo Prof.Lughano Kusiluka amesema Warsha hiyo ina matarajio makubwa katika kusaidia kuhifadhi maarifa asilia ambayo kwa namna moja au nyingine yameanza kusahaulika kutokana na jamii kujikita zaidi katika elimu ya magharibi.

“Warsha hii itasaidia kuibua hisia za wataalam katika uhifadhi wa tamaduni na urithi wa Kiafrika,tunajua kuwa tamaduni na urithi wetu ni muhimu sana katika kujenga utambulisho wetu na kukuza maendeleo yetu kama bara hivyo ni muhimu kuelewa na kuhifadhi maarifa ya asili ya Kiafrika ili tuweze kuendeleza urithi wetu kwa vizazi vijavyo,”amefafanua

Prof.Kusiluka ametaja mikakati ya kufanikisha hilo kuwa ni pamoja na kufanya utafiti na kukusanya maarifa ya asili ya Kiafrika kutoka kwa wazee na jamii za asili na kwamba hiyo itasaidia kuhifadhi maarifa na desturi ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu.

Aidha ameeleza maono ya UDOM kwa miaka ijayo kuwa Chuo hicho kinatarajia kulitumia Jengo la Chimwaga kama hifadhi ya lugha asili za Tanzania na tamaduni mbalimbali jambo litakalo wavutia wengi na kuwa kivutio cha utalii ikiwa ni pamoja na kutumika kufundishia watafiti wa PhD kuhusu maarifa na elimu ya asili.

Amesema Jengo hilo la Chimwaga ambalo lilianza kutumika kama chuo limebeba historia ya UDOM hivyo uhifadhi wake utategemea teknolojia ya kisasa kama vile video na mitandao ya kijamii kueneza maarifa ya tamaduni na urithi wa watanzania na kuwafikia watu wengi zaidi na kujenga ufahamu kuhusu asili.

“Kupitia uhifadhi huu tunategemea kuwashirikisha vijana wetu katika shughuli za kijamii ambazo zinahusisha tamaduni na urithi wa Kiafrika na Kuwafundisha na kuwahusisha vijana wetu kutahakikisha kuwa maarifa haya hayapotei,”amesisitiza Prof.Kusiluka.

Naye mmoja wa washiriki katika warsha hiyo ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu(PhD)Adriano Utenga amesema maarifa ya watu yanatunzwa na watu wenyewe hivyo kutoa wito kwa watanzania kuungana na nchi nyingine za Kiafrika kwa njia ya ushirikiano wa kiuchumi na kisiasa ili kudumisha umoja na kulinda tamaduni zetu.

“Tunapaswa kuwa wamoja na kuweka maslahi ya bara letu mbele,asili yetu ni utajiri,sisi wataalam tunapaswa kutumia nguvu zetu kuamsha ari ya jamii kutunza maarifa asilia,”amesema.

Huku akitumia mfano wa nchi za Ghana na Senegal ambazo zimefanya jitihada kubwa za kuhifadhi tamaduni na urithi wao, Utenga amesema Tanzania inawezà kujifunza kutoka kwao na kutekeleza mikakati sawa nchini ikiwa ni pamoja na kukuza utalii wa kitamaduni kwa kuvutia wageni kutoka ndani na nje ya bara la Afrika.

“Utalii huu utasaidia kuongeza mapato na kukuza ufahamu kuhusu tamaduni zetu na urithi wetu,Kwa ujumla tuna jukumu la kuwafundisha na kuwahamasisha watu wetu ili waweze kuchukua hatua,tuwaelimishe watu wetu juu ya thamani ya tamaduni na urithi wa Kiafrika,tuwahimize wawe na fahamu na kuenzi tamaduni zetu kwa kujifunza lugha zetu, kuvaa mavazi yetu ya asili, na kushiriki katika shughuli za kitamaduni,”amesisitiza.

About the author

Alex Sonna