Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI NAIROBI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wakuu wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC), Nairobi nchini Kenya 05 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi mbalimbali za Afrika, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023

About the author

mzalendoeditor