Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA MABALOZI WA TANZANIA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2023 kwa mazungumzo na kumuaga wakielekea katika vituo vyao vya Kazi waliopangiwa, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,ujumbe huo ukiongozwa na Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mhe.Balozi.Joseph Sokoine (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

MABALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2023.(Picha na Ikulu)

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga wakielekea katika vituo vyao vya Kazi waliopangiwa.(Picha na Ikulu) 

About the author

mzalendoeditor