Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

CSSC YAVIJENGEA UWEZO VITUO VYA AFYA VYA MAKANISA

Written by Alex Sonna

 

Mratibu wa ubora kutoka Shirika la Christian Social Services Commission (CSSC), Dk David Isaya ,akizungumza wakati wa  kikao kikuu cha mwaka cha Tanzania Christian Medical Association (TCMA) kinachoendelea jijini Dodoma.

Mganga Mfawidhi katika Hospitali ya St Joseph ya Moshi mkoani Kilimanjaro,Dk Sister Hellen Benedict,akizungumza wakati wa  kikao kikuu cha mwaka cha Tanzania Christian Medical Association (TCMA) kinachoendelea jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa  kikao kikuu cha mwaka cha Tanzania Christian Medical Association (TCMA) kinachoendelea jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Christian Social Services Commission (CSSC),limeendeleza juhudi zake za kujenga uwezo vituo vya afya vya makanisa ikiwemo namna bora ya jinsi ya kulinda na kukuza mapato na utoaji wa huduma bora katika vituo hivyo.
Hayo yameelezwa leo Septemba 5,2023 jijini Dodoma na Mratibu wa ubora kutoka CSSC Dk David Isaya wakati akizungumza kwenye kikao kikuu cha mwaka cha Tanzania Christian Medical Association (TCMA)

Dk David Isaya amesema kazi yao kubwa ni kuwaunganisha pamoja na watoa huduma wengine ili kushirikisha Uzoefu na kuwajengea uwezo watoa huduma Hospitalini

Amesema jukumu hilo wamekuwa wakilifanya tangu kuanza kwa CSSC mwaka 1992 na wamekuwa wakifanya kwa weledi zaidi.

Ameitaja changamoto inayowakabili ni rasilimali fedha na Watu katika sekta ya Afya

Hata hivyo amesema wamechukua hatua kwa kuimarisha mifumo ya uongozi dhabiti na kuzijengea uwezo menejimenti za hospitali pamoja na utoaji wa vitendea kazi.

Amesema wakitoa huduma Bora wataweza kuongeza idadi ya wagonjwa wanaofika katika vituo vyao.

Amezitaja mbinu wanazotumia kuboresha huduma ni kuwa na watu sahihi kwenye vitengo husika na matumizi ya miongozo sahihi katika kutoa huduma za Afya.

Hata hivyo ametoa wito kwa washiriki kuwa makini kufuatilia yale mafunzo ya kuwajengea uwezo pamoja na kuwatafuta pindi watakapokuwa na shida.

Kwa upande wake Mganga Mfawidhi katika Hospitali ya St Joseph ya Moshi mkoani Kilimanjaro,Dk Sister Hellen Benedict, amesema wamejifunza mambo mbalimbali ambayo yanahusika na uwajibikaji na utoaji wa huduma Bora.

Amesema katika kuhakikisha wanatoa huduma bora, Hospitali hizo wamejipanga kuongeza mapato kwa kutoa huduma Bora.

Amesema uwajibikaji unaanza kwa Mkuu wa kituo na wafanyakazi wote kwa kuwa wazi na kujali wagonjwa.

Ni jukumu letu katika mafunzo tuliyopata tunaimarisha maslahi pamoja na yale mahitaji muhimu ya watumishi wetu ili na wao waweze kuwahudumia wagonjwa wanaokuja.

Amesema mgonjwa akipata huduma nzuri ataendelea kuwa mteja pamoja na kuleta wateja wengine kwenye  huduma bora.

Kupitia mafunzo haya tumeweza kutoa huduma Bora na tunajivunia huduma zetu na tutaendelea kufanya vizuri zaidi na tunataka kutambulika Kimataifa kama Hospitali Bora inayotoa huduma bora.

About the author

Alex Sonna