Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI APOKELEWA RASMI WIZARA YA NISHATI

Written by Alex Sonna
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kulia), baada ya kuwasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka, (pili kulia) na  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali wa Wizara ya Nishati, Ziana Mlawa( kulia)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisaini Kitabu cha Wageni baaada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023.

Watumishi wa Wizara ya Nishati wakiwa katika tukio la kumpokea Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga katika Ofisi za Wizara, jijini Dodoma, Septemba 4, 2023.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kulia), baada ya kuwasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka, (pili kulia) na  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali wa Wizara ya Nishati, Ziana Mlawa( kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kulia) akimkaribisha Naibu Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023.
Naibu Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023.
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na watumishi wa Wizara ya Nishati mara baada ya kumpokea Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza na watumishi wa Wizara ya Nishati mara baada ya kupokelewa na watumishi hao katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma, Septemba 4, 2023.
 
 
 
✔️AAMBATANA NA NAIBU WAZIRI MPYA WA NISHATI
 
✔️ASISITIZA HUDUMA YA NISHATI KUWAFIKIA WANANCHI WOTE
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga wamepokelewa rasmi na Menejimenti na Watumishi wa Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati zilizopo jijini Dodoma baada ya kuapishwa na Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan kushika nyadhifa hizo.
 
Akizungumza na Menejimenti na Watumishi hao tarehe 4 Septemba, 2023, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais, Dkt. Samia kwa kumuamini katika kuisimamia  Sekta ya Nishati na ameahidi kuwa yeye pamoja na Naibu Waziri watafanya kazi kwa bidii na ufanisi ili kuitendea haki imani hiyo.
 
Dkt.Biteko ameeleza kuwa, kazi iliyo mbele ni kuhakikisha kuwa huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba, pamoja kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha Sekta ya Nishati, bado kuna nafasi ya kufanya kazi hiyo vizuri zaidi ili nishati ya uhakika ipatikane, na hiyo ndiyo azma na matarajio ya Mhe.Rais na wananchi kwa ujumla.
 
“Kama watu hawapati umeme, kama watu hawapati nishati wanayoihitaji, hata tukivaa suti za namna gani tunakuwa hatuna maana na tutakuwa na tunasemwa kila siku, kiu yangu ni kuona tunafanya kazi kwa viwango ili huduma ya nishati iwafikie wananchi wote.”amesisitiza Dkt.Biteko 
 
Amempongeza aliyekuwa Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba kwa juhudi alizofanya kuendeleza Sekta na kuahidi kuwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya nishati itaendelea ili kufanya nchi kuwa na nishati ya uhakika.
 
Dkt. Biteko ameshukuru kwa mapokezi mazuri aliyopata wakati akiwasili Wizara ya Nishati na ameeleza kuwa atafanya kazi kwa pamoja na watumishi wa Wizara ili kuiendeleza Sekta na amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa amani. 
 
Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amemshukuru Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa imani aliyompatia ili kuweza kuhudumia Sekta ya Nishati kama Mbunge aliyetoka katika kundi la vijana  na ameahidi uchapakazi, weledi na ufanisi katika kazi zake. 
 
Mhe. Kapinga ameeleza kufarijika kwake kwa kurudi katika Sekta ya Nishati kwani tayari alishaanza kuwa na uzoefu nayo wakati akihudumu kama Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.
 
Amemshukuru Mhe. Rais pia kwa kumwezesha kufanya kazi chini ya Mhe. Dkt. Doto Biteko kwani ana uzoefu katika uongozi na Sekta ya Nishati hivyo chini ya uongozi wake ataendelea kukua na kufanya kazi kwa ufanisi. 
 
Ameahidi kutoa ushirikiano kwa Watumishi wa Wizara ya Nishati na pia amewaasa Watumishi hao  kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waweze kutekeleza majukumu yatakayoendeleza Sekta ya Nishati  na kusisitiza kuwa heshima ya mtu ni kazi.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amempongeza Dkt.Doto Biteko kwa kuteuliwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati pia amempongeza Mhe.Judith Kapinga kwa kuaminiwa na Rais kuwa  Naibu Waziri wa Nishati.
 
Mhandisi Mramba, amewakaribisha viongozi hao katika Wizara ya Nishati, na kueleza kuwa Wafanyakazi watatoa ushirikiano kwa viongozi hao  ili kuweza kutekeleza majukumu yao kazi kwa ufanisi mkubwa.
 

About the author

Alex Sonna