Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

AQRB WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU NA KUEPUKA VITENDO VYA RUSHWA

Written by Alex Sonna
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi Balozi. Mha. Aisha Amour, akizungumza Leo Agosti 29,2023 Jijini Dodoma wakati akifungua Kikao Cha Tisa Cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Msajili wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Mbunifu Majengo Edwin John Nnunduma,akizungumza Leo Agosti 29,2023 Jijini Dodoma wakati akifungua Kikao Cha Tisa Cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi Balozi. Mha. Aisha Amour, (Katikati Kwa waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi Balozi. Mha. Aisha Amour, (Katikati Kwa waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi Balozi. Mha. Aisha Amour, (Katikati Kwa waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Baadhi ya Washiriki wa Kikao Cha Tisa Cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kilichofanyika Leo Agosti 29,2023 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wa Kikao Cha Tisa Cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kilichofanyika Leo Agosti 29,2023 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wa Kikao Cha Tisa Cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kilichofanyika Leo Agosti 29,2023 Jijini Dodoma.

 

Na Okuly Julius-Dodoma.

 
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi Balozi. Mha. Aisha Amour amewataka wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB),kufanya kazi Kwa kujituma na kuepuka Vitendo vya Rushwa.
 
 
Balozi Amour ametoa kauli hiyo Leo Agosti 29,2023 Jijini Dodoma wakati akifungua Kikao Cha Tisa Cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
 
 
“Kutokuwa na weledi na uadilifu na uwepo wa Makundi inapelekea kudorora Kwa ufanisi wa utendaji kazi baina yenu kama watumishi wa umma na nitangaze rasmi hapa hatutaweza kumvumilia mtumishi yeyote atakayekuwa kikwazo katika utendaji kazi,”amesema Balozi Amour
 
 
Katibu Mkuu huyo amesema hakutakuwepo na nafasi ya kumhamishia mtumishi wa Umma kisa ameshindikana au kashindwa kutimiza majukumu yake vyema Kwa nafasi aliyepo zaidi ni kumuondoa kwenye mfumo wa ajira ili wengine wachukue nafasi na kufanya kazi kwa weledi na uadilifu.
 
 
“Hatutampokea mtumishi aliyeota mapembe na kushindikana huko aliko kikubwa tutamuondoa kwenye mfumo ili akafanye kazi kwingine nje ya utumishi wa Umma Kwani tukikutoa huko tukakuhamishia sekta nyingine utaendeleza yaleyale,”amesisitiza Balozi Amour.
 
 
Pia amewapongeza viongozi wa Bodi hiyo Kwa kuondoa kikao hicho ambacho ndani yake kutakuwa na mada mbalimbali ikiwemo ya Maadili ya kazi na kuwataka wahakikisha watumishi wanapata Mafunzo ya mara Kwa mara ya Mahala pa kazi ili kuendelea kuwajengea uelewa na kuwakumbusha misingi ya kazi.
 
 
Aidha,Katibu Mkuu huyo ameagiza ufuatiliaji wa uwepo wa vitendo vya Rushwa baina ya wafanyakazi wa Bodi hiyo hasa pale wanapokwenda kupima na kukagua Majengo.
 
 
“Nawaagiza Fuatilieni suala la kupokea Rushwa baina ya wafanyakazi wenu hasa pale wanapokwenda kufanya vipimo na kukadiria Majengo,”Ameeleza Balozi Amour 
 
 
Kwa upande wake Msajili wa Bodi ya usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Mbunifu Majengo Edwin John Nnunduma, amesema kuwa Bodi hiyo ina Watumishi wa kudumu 42 na Watumishi wa Mikataba 16 ambao wanafanya jumla ya Watumishi wa Bodi kuwa 58 na kwa mujibu wa Muundo mpya wa Bodi, IKAMA ya Bodi inatakiwa kuwa na Watumishi 114 hivyo kuna upungufu wa Watumishi 56.
 
 
“Kikao cha Faragha cha Bodi
Madhumuni ya Kikao cha Faragha ni kutekeleza maelekezo ya Mhe. Prof.Makame Mnyaa Mbarawa (Mb) Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi aliyoyatoa katika kikao cha faragha kati ya Menejimenti ya Wizara na Menejimenti ya
Taasisi zilizo chini yake kilichofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Juni, 2023 Beach Resort Hotel jijini Tanga. Kikao hiki kitaainisha hali na mazingira ya utendaji kazi wa Watumishi wa Bodi pamoja na kubainisha Watumishi ambao hawaleti tija katika utendaji kazi,”ameeleza Nnunduma
 
 
Nnunduma amebainisha matarajio ya Utendaji kazi Kwa watumishi wa Bodi hiyo baada ya Kikao kuwa ni kutoa majibu sahihi na kwa wakati,kuwa wawazi katika utendaji,kumjali na kumheshimu mteja,matumizi sahii ya taarifa za Bodi na Serikali,kuzingatia viwango, weledi na maadili ya taaluma,kuzingatia huduma inayotolewa inaendana na thamani ya fedha zinazotumika,kuwa tayari kujifunza na kubadilika, na Kutoa huduma kwa kutumia Teknolojia ya Kisasa.
 
 
Naye Kiongozi wa kanda kanfa ya Kati,Msanifu majengo kutoka (AQRB) Joseph Ringo amesema kazi kubwa inayofanywa na bodi hiyo ni kufanya ukaguzi kwenye miradi ya ujenzi hivyo ametoa wito kwa washitili kutumia wasanifu majengo waliosalijiliwa kwa leo na nia ya kuleta tija suala la ujenzi.
 
 
Sambamba na hayo kwa upande wake Mkaguzi wa Ndani wa AQRB Farha Hussein Baabde amesema suala la uadilifu, uchapakazi na uaminifu katika sehemu za kazi ni muhimu kwa watumishi kwani inaleta tija katika uchapakazi serikalini.
 
 
Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (Architects and Quantity Surveyors Registration Board) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.16 ya mwaka 1997 ambayo tarehe 01 Oktoba, 2010 ilifutwa na nafasi yake kuchukuliwa na Sheria Na. 4 ya mwaka 2010 ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi. Baada ya Bodi kuanzishwa, mwaka 1998 ilisajili Wataalam 188 na Kampuni 53. Hivi sasa Bodi ina Wataalam 1,340 na Kampuni 460.

About the author

Alex Sonna