Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WADAU WA ELIMU KUENDELEA KUSHIRIKISHWA KWENYE UTEKELEZAJI WA SERA NA MITAALA MIPYA YA ELIMU

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akimkabidhi cheti Mwanafunzi wa kidato cha 4 wa  Shule ya Sekondari Uru Sekondari iliyopo Mkoani Kilimanjaro wakati wa hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya Shule hiyo.

Na.Mwandishi Wetu-KILIMANJARO

SERIKALI  imesema Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na mabadiliko ya Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu itakapopitishwa itakutana na wadau wote wa Elimu zikiwemo Taasisi zote za Dini pamoja na Sekta binafsi kujiandaa kutekeleza kwa pamoja mageuzi makubwa ya elimu nchini.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda  Mkoani Kilimanjaro alipokuwa akizungumza katika Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani humo ambapo amesema katika kutekeleza mageuzi hayo serikali inawahitaji sana wadau ili kwenda sambamba katika mageuzi hayo.

Prof. Mkenda ameeleza kuwa mchakato mzima wa ukusanyaji maoni ulihusisha wadau mbalimbali ambao walitoa mchango mkubwa katika kupatikana kwa rasimu hizo, hivyo serikali imeona umuhimu kwa wadau hao kushiriki kuweka mikakati ya utekelezaji.

“Rasimu ya Mapitio ya Sera na mabadiliko ya Mitaala zitakapopitishwa rasmi na mamlaka husika na kuwa tayari kwa ajili ya utekelezaji, tutakutana tena na kushirikisha taasisi zote za dini za Kiisilamu na Kikristo pamoja na sekta binafsi kuona ni vipi tunajiandaa kwa pamoja katika kutekeleza mageuzi haya ili na nyie mchangie katika hilo kwa sababu tunawahitaji sana” ameelezea Waziri Mkenda.

Kiongozi huyo ameongeza kuwa kazi ya kufanya mabadiliko ya Mitaala imefanyika kwa kipindi cha miaka miwili kwa kushirikisha wadau ambapo amesema maandalizi ya Mtaala wa somo la dini umeshirikisha madhehebu yote ambayo kwa pamoja yalikubaliana kwamba ni mtaala sahihi, huku akiwataka wadau kutembelea tovuti ya Taasisi ya Elimu Tanzania ili waweze kuiona mitaala hiyo pendekezwa na kama kuna lolote lisilo sawa.

Kuhusu kuanza kwa Mtaala wa masomo ya amali Waziri huyo amesema unaweza kuanza kutekelezwa katika shule tisa za ufundi zilizopo nchini ambazo tayari zilishatembelewa, kufanyiwa tathimini pamoja na kutengewa fedha kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ufundi uhandisi. Amezitaja shule hizo kuwa ni Tanga, Moshi, Ifunda, Iyunga, Musoma, Mtwara, Bwiru, Shinyanga na Chato kwamba utaratibu umewekwa kuwawezesha wahitimu kuendelea na elimu ya juu.

Akizungumzia uwekezaji katika sekta ya elimu amesema katika uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita fedha nyingi zimetolewa ambazo zimewezesha ujenzi na ukarabati wa miundombinu ambayo imetoa fursa kwa watoto wanapomaliza elimu ya msingi kujiunga kidato cha kwanza kwa mara moja tofauti na zamani ambapo ililazimika kusubiri awamu ya pili na pia hakuna tena zoezi la wazazi kulazimishwa kutoa michango ya ujenzi ili kuwezesha watoto kupata madarasa.

“Hiki ni kiashiria cha namna uwekezaji mkubwa unavyofanywa na serikali, tunaona fedha zinatengwa, shule zinajengwa zinakamilika wanafunzi wanaingia hakuna tena kukimbizana na wazazi kuhusu michango, ingawa kwa hiari wazazi wanaweza kuchangia maendeleo ya elimu” amefafanua Waziri huyo.

Kwa Upande wake Askofu Mkuu wa Jimbo la Moshi, Mhashamu Baba Askofu Ludovick Minde amemshukuru Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda kwa kusimamia vyema sekta ya elimu na maono ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuhakikisha watoto wa kitanzania wanapata elimu na ujuzi utakaowawezesha kujitegemea na kuchangia katika uchumi wa taifa.

Kwa upande wake Katibu wa Elimu Msaidizi Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Peter Asantebwana amesema kuwa katika mabadiliko ya mitaala wao kama wadau wakubwa wa elimu wanaiomba serikali isiwasahau katika mageuzi hayo kwa kuwasaidia kuwapatia vitabu, vifaa vya kufundishia na kujifunzia ikiwemo vifaa vya maabara ili nao waweze kutekeleza kwa ufanisi na weledi katika kuwapatia elimu bora watoto wa kitanzania.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ,akisalimiana na Wanafaunzi wa shule ya Sekondari Uru mara baada ya kuwasili  katika Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule hiyo iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda  akiteta na Viomgozi mbalimbali mara baada ya kuwasili  katika Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Jimbo la Moshi, Mhashamu Baba Askofu Ludovick Minde wakati wa Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Askofu Mkuu wa Jimbo la Moshi, Mhashamu Baba Askofu Ludovick Minde,akizungumza  wakati wa Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa shule ya Uru Mwalim Peter Osoki,akitoa taarifa wakati  hafla ya Maadhimisho ya Miaka ya 50 Jubilei ya  shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,(hayupo pichani) wakati wa Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akimkabidhi cheti Mwanafunzi wa kidato cha 4 wa  Shule ya Sekondari Uru Sekondari iliyopo Mkoani Kilimanjaro wakati wa hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya Shule hiyo.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akipokea Tuzo kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Moshi, Mhashamu Baba Askofu Ludovick Minde wakati wa Hafla ya Jubilei ya miaka 50 ya shule ya Sekondari Uru iliyopo mkoani Kilimanjaro.

About the author

Alex Sonna