Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA ATAKA WATHIBITI UBORA NCHINI KUZINGATIA UBORA WA  ELIMU

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na Wathibiti ubora wa shule jijini Arusha.

Mkurugenzi Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule Bw.Ephraim Simbeyi,akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza na Wathibiti ubora wa shule jijini Arusha.

Mkuu wa Wilaya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa,akizungumza wakati  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani) ,akizungumza na Wathibiti ubora wa shule jijini Arusha.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wathibiti ubora wa shule jijini Arusha.

Na.Mwandishi Wetu-ARUSHA

Wathibiti Ubora wa Shule nchini wametakiwa kuhakikisha shule zinakuwa na viwango vilivyowekwa na Serikali katika miundombinu, ufundishaji, vitendea kazi na maudhui yanayofundishwa watoto ili kuwawezesha kupata elimu iliyo bora.

Akizungumza na Wathibiti ubora wa shule Jijini Arusha, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wazazi wanawapeleka watoto shuleni wakiwa na matumaini ya kwamba zina viwango vinavyotakiwa na wanafundishwa kwa kufuata maudhui yaliyowekwa ambayo yanalinda tamaduni za nchi.

“Naomba muangalie maudhui wanayofundishwa watoto, wazazi wanatuachia watoto wao tunakaa nao shule, matarajio yao ni kuona yale wanayosimamia nyumbani sisi tunaendelea kuyasimamia shuleni hivyo ni wajibu wenu kuangalia vitabu vilivyopo shuleni na maudhui yanayofundishwa” amesema Prof. Mkenda.

Waziri huyo ameongeza kuwa ni wajibu wa Wathibiti ubora kutoa taarifa kwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa juu ya changamoto wanazokutana nazo za miundombinu na upungufu wa walimu wanapofanya ukaguzi na kufatilia kwa karibu ili zipatiwe ufumbuzi badala ya kukaa kimya na kungoja zianze kusambaa katika mitandao ya kijamii.

“ Maeneo ambayo ningependa muyawekee macho ya ukaribu ni changamoto ya vyoo vya wanafunzi na walimu , ninajua kuwa halmashauri hazishindwi kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa vyoo, hivyo hatupaswi kuwa na shule zisizokuwa na vyoo ama zenye vyoo vibovu, nasisitiza katika hili embu geukeni kuwa wanaharakati” amesisitiza Waziri huyo.

Aidha, Prof . Mkenda amesema baada ya muundo wa uthibiti ubora wa shule kubadilika wathibiti hao wamepewa rungu la kusimamia na kufatilia viwango na pale mambo yasipotekelezwa wanaweza kuchukua hatua lakini amewataka wathibiti hao kuona namna ya kusaidia katika kutatua changamoto na kuwezesha kutatua chamgamoto zinazokutwa shuleni.

Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule Simbeye amesema malengo ya mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo na uelewa Wathibiti Ubora wa Shule kwenye maeneo ya utekelezaji wa Mradi wa SEQUIP, Programu ya Shule Salama kwa Shule za Msingi na Sekondari na kuwapa mbinu za kukagua utekelezaji wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini.

Ameongeza kuwa pia Wathibiti hao watapitishwa kwenye Muundo Mpya wa Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule ambao umeondoa ofisi za Kanda na kubaki na za Mikoa, Wilaya na Shule pamoja na kuweka mikakati ya pamoja ya kuongeza idadi ya asasi za kufanyiwa tathimini kutoka kwenye lengo la asasi 8000 hadi kufikia 10,000.

Naye Mratibu Msaidizi wa Mradi wa SEQUIP kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Beatrice Mbigiri amesema mafunzo hayo yamejumlisha Wakufunzi wapatao 215 na kwamba kupitia mafunzo hayo utekelezaji na uendeshaji wa elimu ya Sekondari utakuwa wa mafanikio.

About the author

Alex Sonna