Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

betsat

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

bets10

redwin

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

betcio giriş

betcio

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

avrupabet, avrupabet giriş

buy cocaine

@SEO_DEAD_PORN IN TELEGRAM - HACKED SEO BACKLINKS, CHİLD BULK LINK POSTING, DEAD BOOST PORN SEO RANKING

1xbet giriş

jojobet giriş

marsbahis

casibom giriş

holiganbet

dizipal

Featured Kitaifa

SERIKALI KUWAUNGA MONO WABUNIFU TEKNOLOJIA RAFIKI WA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifungua Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi lililofanyika jijini D ar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Anza Bw. Joshua Elias wakati wa Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati akiwatembelea wanavikundi mbalimbali vya ubunifu wakati wa Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi lililofanyika jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifungua Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi lililofanyika jijini D ar es Salaam

Wabunifu na wadau mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi ambalo lilifunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 4 kwa mmoja wa wabunifu walioshiriki katika Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi lililofanyika jijini Dar es Salaam

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS) 

……

Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono vijana nchini wanaobuni teknolojia mbalimbali zinazosaidia katika kutatua changamoto za mazingira zinazoikabili nchi yetu.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo wakati akifungua Kongamano la Bunifu katika Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi lililofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 25 Agosti, 2023.

Amesema changamoto za mazingira hasa ukame unayoyakabili baadhi ya maeneo nchini pamoja na usimamizi wa taka ngumu zinakwenda kutatuliwa kupitia vijana wanaojikitika katika kununi nyenzo rafiki wa mazingira.

Dkt. Jafo ametoa rai kwa vijana kutumia fursa ya kukusanya taka ngumu na kutengeneza bidhaa mbalimbali hatua itakayowapatia ajira na pia kusaidia katika shughuli ya utenganishaji wa taka.

“Tunaelezwa hapa, nchi yetu inazalisha mamilioni ya tani za taka ngumu kwa mwaka na kati ya hizo ni asilimia 30 tu ndizo zinaingia katika mfumo rasmi wa uchakataji hivyo teknolojia hizi vijana mlizobuni zitasaidia sana katika utunzaji wa mazingira, niwaombe muendelee kujikita katika teknojia ya recycling (urejelezaji) ya taka,” alisema 

Aidha, Waziri Jafo aliwahimiza vijana kuchangamkia fursa ya Biashara ya Kaboni ili si tu kujipatia kipato bali pia kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuhifadhi mazingira kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Aliweweka wazi kuwa kupitia Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) hadi kufikia Julai 2023 tayari miradi 25 imekwishasajiliwa hivyo aliwahimiza vijana kuchangamkia fursa hiyo.

Hali kadhalika Dkt. Jafo alitoa wito kwa Asasi ya Anza iliyoandaa kongamano hilo kuendelea kuwasimamia vijana hao waweze kukua zaidi na waje kuonesha mafanikio makubwa zaidi katika teknolojia bunifu rafiki kwa mazingira.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Ubunifu na Teknolojia wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Bw. Gerald Kafuku alisema wanaendelea kuratibu, kuendeleza na kusaidia vijana katika teknojia.

Alisema Tume inawasadia wabunifu kifedha na kiutaalamu ambapo imetoa shilingi bilioni 1.4 kwa wabunifu 37 na kuviwezesha vikundi vya ubunifu vitano kupitia programu maalumu iliyoianzisha. 

Bw. Kafuku alisema kuwa tayari miradi minane ya teknokojia za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kujenga mazingira wezeshi kwa wabunifu wa magari na pikipiki zinazotumia umeme badala ya mafuta.

Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Anza Bw. Joshua Elias alisema kuwa lengo la ubunifu huo ni kubadilisha taka ambazo zingeweza kuwa na athari za kimazingira na kuzibadilisha kuwa fursa.

Alisema kuwa kupitia ubunifu huo vijana wataweza kuingiza bidhaa hizo sokoni na kutatua changamoto za uchafuzi wa mazingira na wakati huo kuwaletea ajira.

Hivyo, kupitia kongamano hilo ambalo limeandaliwa na asasi anayoingoza, Bw. Joshua aliishukuru Serikali kwa kuunga mkono juhudi za vijana wanaojikita katika ubunifu.

About the author

Alex Sonna