Burudani Featured

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA TAMASHA LA KIZIMKAZI 2023 VIWANJA VYA PAJE MKOA WA KUSINI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 katika viwanja vya kashangae Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya kashangae Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Katiba uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi Day .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Umoja wa Wamasai Zanzibar Ndg,Thomas Malali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika uzinduzi wa  Tamasha la Kizimkazi(KIZIMKAZI DAY) lililofanyika viwanja vya Kashangae Paje,Wilaya ya Kusini .

Rais akiangalia wanyama katika sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi leo huko Paje Wilaya ya Kusini Ungujaviwanja vya Kashangae.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akivalishwa Vazi la Kimasai wakati alipoungana na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Fimbo kutoka kwa Kiongozi wa Jamii ya Wamasai hapa Zanzibar Ndg,Thomas Makau  wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa  Meneja Biashara Benki  ya NBC Ndg,Obedy Ngavatula (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Foundation Bi.Tully Esther Mwambapa (kushoto) akitoa maelezo  wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor