marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet güncel giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

golegol

goldenbahis

imajbet

imajbet giriş

klasbahis

ngsbahis

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

marsbahis

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

cratosroyalbet

radissonbet

gameofbet

ibizabet

casibom

romabet

bahiscasino

Featured Kitaifa

DC CHEMBA AAHIDI KUILINDA MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA COUNSENUTH

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Gerald Mongella, akizungumza wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
 
Na  Gideon Gregory-CHEMBA
 
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma Mhe. Gerald Mongella amewahimiza wakazi wa kijiji cha Mrijo Juu wilayani Chemba kuhakikisha wanatunza vyema kisima cha maji ambacho kimechimbwa kwa msaada wa kituo cha ushauri nasaha lishe na afya (CONSENUTH) kwa kushirikiana na nchi ya Ireland.
 
Mhe. Mongella ameyasema hayo Agosti 24,2023 wakati wa uzinduzi wa kisima hicho ambapo amesema adui mkubwa ni yule atakayekwenda kuchezea chanzo cha maji na kuongeza kuwa tayari visima 12 vimeisha chimbwa huku vitano vikiwa vimesalia kufikia jumla 17.
 
 
“Naomba muungane na mimi kuwapongeza CONSENUTH  kwa kuitekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025 pamoja na bidii katika kumtua mama ndoo kichwani pamoja na katika miradi ya afya,elimu na mazingira,”amesema Mhe. Mongella.
 
Mhe. Mongella,amesema wataendelea kutoa ushirikiano kwa Shirika hilo huku akiwataka wananchi kulinda miradi iliyotekelezwa.
“CONSENUTH mmetusaidia kuondoa utapiamlo na mmewekeza katika hali ya lishe hasa kwa wamama wajawazito na usawa wa kijinsia na pia mmetusaidia kuwajengea Stadi za maisha wanafunzi na upatikanaji wa Maji,”amesema Mhe.Mongella
 
Mkuu huyo wa wilaya ameomba wananchi kutunza kwa hali na mali vyanzo vya maji huku kwenye elimu akiwaomba wahusika wayatumie maarifa ambayo wameyapata.
 
Amewaomba katika miaka 25 ya mbeleni,CONSENUTH waone Chemba kama nyumbani kwao na wasipungukiwe kupeleka miradi.
 
“Miradi mliyotupatia mmetugusa sana,tunazidi kuomba, kwamba hata mkija kuongeza project yetu au majaribio msitusahau sisi Chemba kwa sababu mmefanya miradi ya mfano ndugu zangu akufaae kwa elimu, afya na mazingira huyo ni ndugu yako, CONSENUTH nyie ni ndugu zetu,”amesema.
 
Amesema amezisikia changamoto ikiwemo ushiriki wa viongozi katika masuala ya kijinsia pamoja na wanaume kujojitokeza katika masuala ya kijinsia hivyo watayafanyia kazi.
 
“Napenda kuwahakikishia tunaenda katika Chemba mpya, hivyo ni mategemeo ya kupandisha Wilaya katika 5 Bora katika matokeo ya darasa la saba yatafanikiwa,”amesema
 
Mhe. Mongella amewaomba wakazi wa Wilaya hiyo waache kuhamasisha watoto wasifanye vizuri katika mitihani na masomo.
 
“Naomba tuendelee kujitokeza katika shughuli zote za kujitolea.Endeleeni kudumisha amani na mshirikiane katika kuleta Maendeleo,”amesema Mhe.Mongella
 
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa CONSENUTH Bi. Shakila Mayumana, amesema mradi wa lishe ya kijinsia umeanza kutekelezwa miaka 4 iliyopita ukiwa na lengo la  kupunguza udumavu kwa watoto katika siku 1000 za mwanzo, hali ya lishe ya wanawake, vijana na watoto.
 
Amesema mradi huo umetekeleza katika shule 52 zilizopo katika Halmashauri za Chemba na kwamba unahamasisha matunzo kwa wanawake na watoto ili kuzuia utapiamlo.
 
Mkurugenzi huyo amesema kwenye afya za stadi za maisha shuleni zimewasaidia walimu kuwaongezea ujuzi wanafunzi.
 
”Kwenye tabia nchi tumetelekeza uchimbaji wa visima 12 katika vijiji 12 katika Halmashauri ya Chemba, uvunaji wa maji ya mvua na upandaji wa miti ya matunda na vivuli mashuleni”, amesema Bi.Shakila.
 
Amesema mradi huo umefanikiwa kuchangia kuijengea Halmashauri katika masuala ya lishe na kupunguza kwa asilimia 38 ya udumavu.
 
Amesema mradi umefanya utafiti wa maji katika vijiji 18 katika Halmashauri hiyo.
 
Kuhusu Changamoto amesema ni ushiriki hafifu kwa baadhi ya viongozi,mwamko mdogo kwa wanaume na wajawazito kuendelea kijifungulia nyumbani.
 
Amesema mapendekezo ni Halmashauri iendelee kushirikiana na wadau pamoja na kijijengea uwezo wa kuendesha miradi.
 
Naye Mwakilishi wa Ubalozi wa Ireland Nancy Katalai amesema ubalozi wa nchi hiyo kwa muda mrefu umeelewa kuwa sababu za lishe duni na athari zake zinahusiana kwa karibu na sifa za kitamaduni ikiwemo kaya na jamii ambapo wanawake wanakosa mamlaka ya kufanya maamuzi ndani ya nyumba.
 
Awali akisoma risala ya mbele ya mgeni rasmi , Mtendaji Kata ya Mrijo JuuJesca Njiga amesema kisima hicho kimechimbwa na asasi ya COUNSENUTH kwa ufadhili wa Irish Aid kwa kushirikiana na serikali kupitia mradi wa lishe kijinsia.
 
“Kisima hiki kinauwezo wa kuzalisha lita 8000 kwa saa hivyo kitapunguza adha ya maji iliyokuwa ikiwakabili wananchi wetu kwa muda mrefu,”amesema Njiga.
 
Njiga ameongeza kuwa kisima hicho hutumiwa na wafugaji kunyweshea mifugo yao, hivyo mradi huo utasaidia kuimarisha sekta ya ufugaji kijijini hapo.
 
Nao baadhi ya wanakijiji wa Mrijo Juu wameipongeza CONSENUTH kwa juhudi zao katika kuhakikisha wanatatua changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji ambayo wamesema itawasaidia pia kukabiliana na udumavu unaowakabili watoto.
 Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella, akizungumza wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
 Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella, akizungumza wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Gerald Mongella, akizungumza wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mkurugenzi Mtendaji wa COUNSENUTH Bi. Shakila Mayumana,akitoa taarifa ya Mradi wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mkurugenzi Mtendaji wa COUNSENUTH Bi. Shakila Mayumana,akitoa taarifa ya Mradi wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mwakilishi wa Ubalozi wa Ireland Bi. Nancy Katalai, akizungumza wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mwakilishi wa Ubalozi wa Ireland Bi. Nancy Katalai, akizungumza wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mtendaji wa Kata ya Mrijo Juu Bi. Jesca Njinga,akisoma risala wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Gerald Mongella (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
 
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella,akizindua mradi wa Maji unaosimamiwa na COUNSENUTH wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
 
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Gerald Mongella, akimtwisha Ndoo ya Maji Mwananchi mara baada ya kuzindua mradi wa Maji unaosimamiwa na Counsenuth wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Gerald Mongella, akimkabidhi hati ya Kiwanja Mkurugenzi Mtendaji wa COUNSENUTH Bi.Shakila Mayumana, wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe. Gerald Mongella, akiwakabidhi zawadi washindi wa michezo mbalimbali wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma.
 
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Gerald Mongella,akiwa katika picha mbalimbali wakati wa maadhimisho ya mafanikio ya mradi wa lishe kijinsia Chemba unaosimamiwa na Kituo cha Ushauri nasaha Lishe na Afya (COUNSENUTH) uliofanyika wilayani Chemba Mkoani Dodoma.

About the author

Alex Sonna