Featured Kitaifa

WAZIRI BITEKO AWATAKA WATUMISHI MADINI MTWARA KUSHIRIKIANA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko leo Agosti 24, 2023 ametembelea na kuzungumza na watumishi wa Ofisi ya Madini Mkazi Mkoa wa Mtwara.

Aidha, Dkt.Biteko amekutana na kuzungumza na Uongozi wa Wachimbaji Wadogo wa madini Mkoani Mtwara.

Taarifa rasmi itawasilishwa. Zifuatazo ni baadhi ya picha katika kikao hicho kifupi.

About the author

mzalendoeditor